Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

Ngoja Dr. Mshana amalize kusali aje akusaidie!
 
Ni aina gani ya laptop + specification uliyoagiza alibaba ukaletewe pia naomba na contacts za supplier wako,nataka kuagiza na mm.
(Seeing is believing).ukinisaidia na bei nitashukuru pia.
Supplier ntakupa namba kwenye ubora au kifaa hapo niwewe mwenyewe utakachopendezwa nacho kulingana na bei utakayokuwa nayo maana bei zinaanzia 250,000 na kuendelea kulingana na aina na laptop unayotaka
 
Supplier ntakupa namba kwenye ubora au kifaa hapo niwewe mwenyewe utakachopendezwa nacho kulingana na bei utakayokuwa nayo maana bei zinaanzia 250,000 na kuendelea kulingana na aina na laptop unayotaka
Nitashukuru aisee...naisubiria na pia unaweza nipa jina la supplier.
 
aisee unamtumiaje mtu pesa kabla hujapokea mzigo? wenzio tunachofanya kama yuko koa x na ww uko koa y basi unaongea na wakala wa bus unapanga naye anakua ndio mediator wenu.
sijawahi kuamini biashara na mtz ya online nikatuma pesa. ni hand to hand
 
Supplier ntakupa namba kwenye ubora au kifaa hapo niwewe mwenyewe utakachopendezwa nacho kulingana na bei utakayokuwa nayo maana bei zinaanzia 250,000 na kuendelea kulingana na aina na laptop unayotaka

Mkuu nimekuchek inbox mana nina maswali zaidi (plz kama hutojali)
 
Mkuu ulilizwalizwaje, maana tupo darasani tunachukua material.
Ni swala la aibu mkuu.. Nilitoka kuchukua hela bank nilibeba kwenye bahasha na nilikua alone nafika ofisini niko na bahasha tupu😥😥.. Nadhani hawa wezi hua wanatumia na uchawi sio bure, maana nilipishana na vijana wakati natoka ila sikumbuki kama hata nilisalimiana nao, na hata sura siwakumbuki,,, nyie acheni tu🤦‍♀️
 
Mimi hua naziamini sana instinct zangu!!!

Mwaka jana kuna kitu nilikiona mtandaoni insta, nikakipenda. Nikawasiliana na jamaa aliyepost tukakubaliana vizuri tu bei laki nne na nusu pamoja na gharama za usafiri mpaka huku nilipo. Akasisitiza mwenyewe kua nitalipa baada ya mzigo kufika.

Ilikua ni experience nzuri sana kuwahi kutokea. Jamaa hanijui na wala simjui, lakini baada ya siku mbili kweli mzigo ulifika. Nikamtumia pesa yake yote. Akashukuru na mimi nilifarijika sana maana mzigo ulikua uko poa sana.

Mwaka huu nilikua na uhitaji wa mzigo ule ule. Baada ya kubargain bei, ikaonekana bei imepanda mpaka laki nne na themanini. Kilichonishangaza jamaa amesisitiza nimtumie pesa yote kisha ndio atume mzigo (tofauti na mwaka jana). Hii imenipa wasiwasi mno. Nimejikuta hata hamu ya ile bidhaa imekata na siihitaji tena. Habari za kutuma pesa kwanza kisha ndio mzigo ufike zimenikata stimu nahisi nataka kutapeliwa hapa.
 
Bora ulivyostuka mapema mkuu.. safari hii angekuliza
 
Hapo anataka ukupiga mkuu labda kama unamtu kule akasimamie ila na watu nao hawaaminiki tena na muda wa kufanya shughuli yako ndio hawana
 
Hii mbaya sana kaka sema fresh
Hii juzi wife ameagiza simu toka kwa mtandao, nikamwambia asitoe hela mpaka mzigo ufike. Cha ajabu jamaa wawili waiosema wana mzigo wakashindwa kuleta na walibakia tuma sijui boda analeta. Mwisho wa siku walikua matapeli. Akaleta mtu mwaminifu akapewa 600k. Ilikua ni iphone simu. Bila mm ingekua maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…