Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
😃😃😃 Kwani nimeomba pesa?mkuu wewe mloge tu huyo mtu halafu yeye pesa atakupa, asipokupa ja yeye unamroga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 Kwani nimeomba pesa?mkuu wewe mloge tu huyo mtu halafu yeye pesa atakupa, asipokupa ja yeye unamroga
Majitu majizi kama haya unayakuta bar alafu yanaagiza wine na mabia ya kutosha yaani..Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia.
Ila kadri siku vinavyosonga mbele mtandao unageuka kuwa wizi wa kupindukia, mfano nchi za wenzetu wako vizuri sana ingawa sijui changamoto zao ila mtu anaagiza na kupokea mzigo mlangoni. Sisi kwetu sasa ukiagiza ujue tumbo la kuhara lazima likushike hutulii mpaka mzigo uuone ndio useme afadhali.
View attachment 2891003
Jana nimeona kitu mtandaoni nikakipenda nikasema ngoja nimcheki mshikaji tuyajenge, tumeelewana vizuri na mzigo nimetuma na makubaliano ni leo nipokee changu.
Kilichonikuta Gari ambayo tulielewana anitumie imepita nampigia simu hapokei na simu kazima. Sasa mtu kama huyu anaharibu kula ya wengine wanaotegemea order za watu, na kwa hali kama hii uje unishawishi kuchukua vitu bongo tena online ni ngumu maana tayari nimeona madhara yake.
Siyo mara moja nafanya biashara online nimezoea kuagiza Alibaba.com na AliExpress.com jamaa hawana noma aisee nilishangaa naagiza kitu kimoja AliExpress naletewa mpaka Tanzania hueziamini ni cha Tsh2,000 tu.
Na muda huu napoa andika nimepokea Email ya mzigo wangu View attachment 2890995
Hapo nakuwa na amani maana kila hatua najua sasa sisi tunakwama wapi wizi huu mpaka lini??
Pamoja na hivyo, Mwezi wa 1 mwaka huu nimeagiza Laptop Alibaba nimepokea bila shida, na mpaka mzigo unanifikia nilikuwa najua unaenda endaje kila kituo naona kupitia track order.
Sisi watanzania ndio maana hatuaminiki iwe kwenye kazi au hata ukiomba ajira sehemu, kwenye kampuni au kwa mtu binafsi uaminifu ni sifuri, hata ndugu unamuogopa kuja kwako!!
Pole sana MkuuKufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia.
Ila kadri siku vinavyosonga mbele mtandao unageuka kuwa wizi wa kupindukia, mfano nchi za wenzetu wako vizuri sana ingawa sijui changamoto zao ila mtu anaagiza na kupokea mzigo mlangoni. Sisi kwetu sasa ukiagiza ujue tumbo la kuhara lazima likushike hutulii mpaka mzigo uuone ndio useme afadhali.
View attachment 2891003
Jana nimeona kitu mtandaoni nikakipenda nikasema ngoja nimcheki mshikaji tuyajenge, tumeelewana vizuri na mzigo nimetuma na makubaliano ni leo nipokee changu.
Kilichonikuta Gari ambayo tulielewana anitumie imepita nampigia simu hapokei na simu kazima. Sasa mtu kama huyu anaharibu kula ya wengine wanaotegemea order za watu, na kwa hali kama hii uje unishawishi kuchukua vitu bongo tena online ni ngumu maana tayari nimeona madhara yake.
Siyo mara moja nafanya biashara online nimezoea kuagiza Alibaba.com na AliExpress.com jamaa hawana noma aisee nilishangaa naagiza kitu kimoja AliExpress naletewa mpaka Tanzania hueziamini ni cha Tsh2,000 tu.
Na muda huu napoa andika nimepokea Email ya mzigo wangu View attachment 2890995
Hapo nakuwa na amani maana kila hatua najua sasa sisi tunakwama wapi wizi huu mpaka lini??
Pamoja na hivyo, Mwezi wa 1 mwaka huu nimeagiza Laptop Alibaba nimepokea bila shida, na mpaka mzigo unanifikia nilikuwa najua unaenda endaje kila kituo naona kupitia track order.
Sisi watanzania ndio maana hatuaminiki iwe kwenye kazi au hata ukiomba ajira sehemu, kwenye kampuni au kwa mtu binafsi uaminifu ni sifuri, hata ndugu unamuogopa kuja kwako!!
Aisee hiki kizazi kinalaana aiseeHii juzi wife ameagiza simu toka kwa mtandao, nikamwambia asitoe hela mpaka mzigo ufike. Cha ajabu jamaa wawili waiosema wana mzigo wakashindwa kuleta na walibakia tuma sijui boda analeta. Mwisho wa siku walikua matapeli. Akaleta mtu mwaminifu akapewa 600k. Ilikua ni iphone simu. Bila mm ingekua maumivu
Mapema sana aiseeUshapigwa tayariiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuuPole sana Mkuu
Namba itakuwa nzuri zaid au ukinipa pia jina la supplier itakuwa poa ili nimtafute alibabaUnataka address yao au namba?
Alibaba hawana mkataba na speedaf wao kabla ya kununua unachati nao kwanza kulingana na bidhaa unazotaka wanakupa bei baada ya hapo wanakuomba namba ya supplier wako ambae atakusafirishia mzigo toka china kuja Tanzania.Ivi ukiagiza alibaba au aliexpress unamchaguaje speedcaf kama shipping method? Maana pale naona option nisiotaka
Uyo kakuchechia ana agenda ovu.Mimi hua naziamini sana instinct zangu!!!
Mwaka jana kuna kitu nilikiona mtandaoni insta, nikakipenda. Nikawasiliana na jamaa aliyepost tukakubaliana vizuri tu bei laki nne na nusu pamoja na gharama za usafiri mpaka huku nilipo. Akasisitiza mwenyewe kua nitalipa baada ya mzigo kufika.
Ilikua ni experience nzuri sana kuwahi kutokea. Jamaa hanijui na wala simjui, lakini baada ya siku mbili kweli mzigo ulifika. Nikamtumia pesa yake yote. Akashukuru na mimi nilifarijika sana maana mzigo ulikua uko poa sana.
Mwaka huu nilikua na uhitaji wa mzigo ule ule. Baada ya kubargain bei, ikaonekana bei imepanda mpaka laki nne na themanini. Kilichonishangaza jamaa amesisitiza nimtumie pesa yote kisha ndio atume mzigo (tofauti na mwaka jana). Hii imenipa wasiwasi mno. Nimejikuta hata hamu ya ile bidhaa imekata na siihitaji tena. Habari za kutuma pesa kwanza kisha ndio mzigo ufike zimenikata stimu nahisi nataka kutapeliwa hapa.
Siyo kweli kijana..Acha tu ila hatafika mbali maana cha dhuruma siyo kizuri, ndio maana matajiri wengi niwazurumaji siku akifa na mali zinaisha maana walibakia hawawezi kufanya mabaya ya baba yao watataka biashara ijiendeshe kumbe hawajui alikuwa anafanyeje
Pole sn. Utamaduni wa watz umebadilika.siku his watanzania tunekuwa waongo sijapata kuona.pole kwa yaliyokukutaKufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia.
Ila kadri siku vinavyosonga mbele mtandao unageuka kuwa wizi wa kupindukia, mfano nchi za wenzetu wako vizuri sana ingawa sijui changamoto zao ila mtu anaagiza na kupokea mzigo mlangoni. Sisi kwetu sasa ukiagiza ujue tumbo la kuhara lazima likushike hutulii mpaka mzigo uuone ndio useme afadhali.
View attachment 2891277