Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

Majitu majizi kama haya unayakuta bar alafu yanaagiza wine na mabia ya kutosha yaani..
 
Pole sana Mkuu
 
Aisee hiki kizazi kinalaana aisee
 
Ivi ukiagiza alibaba au aliexpress unamchaguaje speedcaf kama shipping method? Maana pale naona option nisiotaka
 
Ivi ukiagiza alibaba au aliexpress unamchaguaje speedcaf kama shipping method? Maana pale naona option nisiotaka
Alibaba hawana mkataba na speedaf wao kabla ya kununua unachati nao kwanza kulingana na bidhaa unazotaka wanakupa bei baada ya hapo wanakuomba namba ya supplier wako ambae atakusafirishia mzigo toka china kuja Tanzania.

Kwa upande wa AliExpress wao unachagua kutumia supplier wako au ununue bila kuwasiliana nao yaani kuchatinao ila zingatia address yako iwe sahihi mzigo unapokwenda nchi mpaka kitongoji au kijiji kwa kufanya hivyo mzigo wako ukifika Tanzania utapelekwa POSTA.

Baada ya hapo POSTA wa eneo ulilopo ambapo address yako inasoma watakupigia simu kukujulisha mzigo wako wanao kalipie shipping chukua mzigo wako.
 
H
Uyo kakuchechia ana agenda ovu.

Mwanzo mlishafanya biashara kwa uaminifu kwanini anakugeuka?

Usikate tamaa mapema, nawe muwekee conditions zako katika kusoma authentication ya uaminifu wake.

Kama kuna mabasi yanalink kutoka ulipo hadi alipo ama maroli, ubagain na 'conda' kama mtu wa kati, umpatie pesa akaulipie na kukubebea akuletee.

Hapo changamoto itakuwa ni kukagua bidhaa na kujiridhisha.

Janjajanja ya kumtumia pesa mbichi bila njia ya kuaminika ya kukipata kifaa chako, hapana!
 
Acha tu ila hatafika mbali maana cha dhuruma siyo kizuri, ndio maana matajiri wengi niwazurumaji siku akifa na mali zinaisha maana walibakia hawawezi kufanya mabaya ya baba yao watataka biashara ijiendeshe kumbe hawajui alikuwa anafanyeje
Siyo kweli kijana..

Huyo aliye kuibia inawezakana akaingia kwenye jarida la Forbes, na akawapa watoto wake njia bora ya kuendesha Biashara zake. Hata akifa biashara zinaendelea.

Na wala usimuachie Mungu, pambania haki yako mwenyewe. Kama unaweza Mroge tu.
 
Pole sn. Utamaduni wa watz umebadilika.siku his watanzania tunekuwa waongo sijapata kuona.pole kwa yaliyokukuta
 
Hili ndo lilikuwa lengo la vitambulisho vya NIDA, unashtaki polisi mtu anakamatwa , Sasa sisi nchini kwetu vitambulisho vya NIDA Kazi yake kusajilia line tu basi. Tunaishi kama wanyama Kutokana na mifumo yetu mibovu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…