Hakuna derby kati ya Azam na Simba au Azam na Yanga!

Hizo timu zote ni Kongwe, Azam ina umri kuingia kwenye ligi na kujifanya derby ya Simba na Yanga? Afadhali kina African Lyon na Pamba maana ni wakongwe pia ila siyo Azam ya juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala la derby halina mahusiano na ukongwe, ni timu zinazotoka katika eneo moja, itategemea na mazingira ila iwe mji, iwe mkoa au hata mtaa.

tatizo lako wewe ni kuwa unachganya mambo mawili tofauti, katika team pinzani kwenye ligi na derby. Barcelona ni wapainzani wa real Madrid, ila derby yao ni na Espanyol mana ndio timu wanayotoka eneo moja.
 
Madrid na Barcelona, Bayerm Munich na Borrusia Dortmund hizi timu zinatoka miji tofauti je nazo sio derby?
 
sio derby mkuu, madrid vs barca inaitwa el Clasico. Madrid vs Atletico ndio inaitwa derby.
Fc Porto mji wa Porto vs Benfica mji wa Lisbon, Dortmund B vs B Munich hizi ni nini? Hizo zote ziko miji tofauti tofauti na zimeorodheshwa ni moja kati ya derby kubwa ulaya
 
Mkuu, Azam ndio wanaolazimisha hiyo derby, Ni katika kuikuza timu yao.

Niseme ukweli hata mimi sipendezwi na hilo.

Wapigwe marfuku [emoji3] mbona uwanja wa mkapa aka kwa mchina iliwezekana.
 
Mbona KMC haiwekwi kwenye derby? Au yenyewe inatokea pwani?
 
kwanza ujue maana ya derby ndo uandike uzi, hivi unajua Leeds United na Manchester United ndio derby halisi ya Manchester na sio United vs City??? haya vp kuhusu mafanikio ya United kwa Leeds ni sawa au City kwa Leeds ni sawa??
 
AZAM Media wasipo dhibitiwa wataleta vitu vya ovyo katika nchi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ tunapenda ku complicate mambo ili tuonekane tu tunajua, huyo nae kaja na kitongoji kweli waelimishaji wanakazi.
There must be a rivaly between two teams.....
Na fans wake.
Uliko copy hiyo definition, soma vizuri
 
Man U na Liver pia ni Derby, wanaitwa Northwest derby, uingereza ina mikoa 9 na moja ya Mikoa hio ni Northwest ambao ndani yake Kuna jiji la Manchester na Liverpool
 
Unatranslate Only on English basis na sio Football basis.

Lazima kuwe na Rivary btn two teams.
History etc
Simba na Abajalo ni Derby?
Simba na Dar City?
Simba na KCMC?
Simba na Bombom?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ tunapenda ku complicate mambo ili tuonekane tu tunajua, huyo nae kaja na kitongoji kweli waelimishaji wanakazi.
Bongo kuna wajuaji mbuzi sanaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza leta reference ya hio definition?
Wabongo ujuaji halafu hakuna kitu mnajua
 
Hizo timu zote ni Kongwe, Azam ina umri kuingia kwenye ligi na kujifanya derby ya Simba na Yanga? Afadhali kina African Lyon na Pamba maana ni wakongwe pia ila siyo Azam ya juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wew akili zako zina shida,
Nani kasema derby inaangalia history na mafanikio?
 
Fc Porto mji wa Porto vs Benfica mji wa Lisbon, Dortmund B vs B Munich hizi ni nini? Hizo zote ziko miji tofauti tofauti na zimeorodheshwa ni moja kati ya derby kubwa ulaya

mkuu, kuna derby za miji, kuna derby za mikoa, kuna derby za mitaa. Kwahiyo unatakiwa upeleleze makini usikurupuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…