Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #61
Hizo timu zote ni Kongwe, Azam ina umri kuingia kwenye ligi na kujifanya derby ya Simba na Yanga? Afadhali kina African Lyon na Pamba maana ni wakongwe pia ila siyo Azam ya juziDerby ni match between local revels, kwa maana timu zinazotoka kwenye mji mmoja au kitongoji kimoja. mechi yao ina qualified kuitwa derby.
kwa mfano
Arsenal vs Fulham ni London Derby
Arsenal vs Chelsea pia ni London derby.
Arsernal vs Spurs
Arsenal vs West ham
Hizi zote zinaitwa London Derby.
Man UTD na Liverpool ni watani na mahasimu wa Jadi, ila mechi yao haiitwi Derby.
Sent using Jamii Forums mobile app