Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zomba hebu kua na weledi some times? Kwa nini serikali iwaonee huruma wafanyakazi ambao si zaidi ya m3 wakati kuna watu zaidi ya 15m ambao hawapo kwenye mfumo wa pension? yaani huruma inakuja kwetu tu?....
Zomba hebu kua na weledi some times? Kwa nini serikali iwaonee huruma wafanyakazi ambao si zaidi ya m3 wakati kuna watu zaidi ya 15m ambao hawapo kwenye mfumo wa pension? yaani huruma inakuja kwetu tu?
Zomba hebu kua na weledi some times? Kwa nini serikali iwaonee huruma wafanyakazi ambao si zaidi ya m3 wakati kuna watu zaidi ya 15m ambao hawapo kwenye mfumo wa pension? yaani huruma inakuja kwetu tu?
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.
Source: ITV Habari
NSSF walipoanzisha hilo fao hawakuwa duniani?Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.
Source: ITV Habari
Wanajamvi,
Nimekereka sana na majibu ya mtu mmoja ktk ITV aliposema " duniani kote hakuna Nchi ambayo wanasheria ya kujitoa kabla ya umri wa kustaafu" habari hii imeniharibia siku.
1) Kwa nini huyu bwana anatushurutisha sisi kufuata taratibu za nchi nyingine ambazo hatuna mkataba nazo. Kwani sisi tunaishi huko kwingine?
2) Kwa nini sisi hatuna utaratibu wetu wenyewe kulingana na sheria yetu wenyewe kulingana na mazingira yetu na taifa letu ?
3) Imesemwa wastani wa maisha ya mtanzania ni miaka 45 huyu anatulazimishaje kufikia umri anaotaka yeye, ndiyo atupe hela zetu. Ana uhakika gani kama ntafika umri huo??
4) Ukweli unampa hela mtu ana miaka 60 wakati kachoka hawezi kuzitumia na wala mipango hata weza kufatilia kwa karibu jinsi ya kuendeleza maisha yake! Kwa nini usimpe hela yake akiwa na nguvu aweze kupanga maisha yake mwenyewe?
5) Wenzetu ambao tunashurutishwa kufuata sheria zao wana taratibu zao za kumpa mtu msaasa anapokuwa hana kazi, leo mtanzania una acha kazi alafu unasota mtaani huna msaada wakati kuna mijitu imekalia hela zako! Inaudhi sana alafu mtu anatoa majibu rahisi tuu et hakuna nchi duniani inafanya hivyo !!
Kwa nini tusianze sisi waige kwetu.
Kwa nini sisi tunaiga yale machungu tuu lakini hatuigi yenye neema??? Why???
Kwa nini tuige why tusitunge sheria yetu??
Imeniharibia siku
Naenda glocery ya jirani hapo!!
halafu nikikosa iyo kazi inakuwajeNimemsikiliza kwakweli nimepatwa na hasira sana, mbaya zaidi anaongea akijichekesha chekesha.
Anadai utaratibu unatakakiwa ukifukuzwa kazi utafute kazi pengine uendelee kuchangia
Naungana kabisa na Dr Ramadhani Dau kwani nimekaa sana kwenye uongozi wa Fedha sijapatapo kusikia kitu kama hicho.
Hata huku kwetu kuna watu wa mafuta ambao ni sawa sawa kabisa na kwenu huko watu wa madini. Sisi na nchi zote zimeweka utaratibu maalum kwao kuhakikisha haki yao kimsingi ya mafao yao wanayapata pindi wakifikisha muda wa kustahafu. Huku tumeweka mikopo maalum ambapo watu hao wanaweza kukopa na kufanya biashara au shughuli nyingine lakin haki yake ya mafao yake anawekwa kwa ajili ya kustahafu.
Hongera sana Dr Dau kusema hayo tena kwa kubainisha wazi kuwa hakuna kitu kama hicho duniani. Hongera Dr Dau kwa kuonyesha weledi wako na msimamo wako na kutokubali kuumbishwa na wana siasa.
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.Source: ITV Habari
Unasema nini wewe wakati kwa mara ya kwanza tunaona wakulima wakisaidiwa na mifuko ya pensheni? huyo huyo ambae ameboresha NSSF huyo huyo aliyeleta huo mpango mzuri wa mafao uzeeni huyo huyo ndiye kwa mara ya kwanza tunaona hizo fedha zetu zikijenga madaraja, vyuo vikuu, na zikisaidia wakulima na wafanya biashara, hata Mbowe alikopoa huko mamilioni kibao kuendeleza disko lake la bilicanasa, au hujui?
Kuhusu wakulima soma chini hapa fata na hiyo link, na kwa mara ya kwanza tunaona mifuko ya pensheni ikianza kufikishwa kwa wakulima, ambao ni zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania. walikuwa wapi wa kabla ya Dau na Kikwete? kwanini hatukuyaona yote hayo?
Wakulima wahakikishiwa huduma bora
Hivi huyu Dau ameisoma sheria yote ya mifuko ya jamii ya ULAYA au amechomoa tu vifungu vinavyo mfurahisha?
Ulaya kama ameachishwa/umepunguzwa kazi wakati ukiwa huna kazi unalipwa UNEMPLOYEMENT BENEFIT/ALLOWANCE. Je Dau na NSSF yake wako tayari kutoa hilo fao?
Kama mmeamua kufuata ya ULAYA basi mfuate kila kitu sio kuchomoa vipengelea vinavyo wafurahisha. STUPIDY
NAJARIBU KUTAFUTA UKILAZA WAKE MI MBONA SIUONI AU CHUKI BINAFSI
The Secretary General of the International Social Security Associations (ISSA) Mr. Hans-Horst Konkolewsky (l) congratulates Dr Dau for being elected a member of the Governing Bureau of the organization at a brief function at the Cape Town International Conference Centre yesterday. During the short meeting between the two, the ISSA Secretary General confered the honour to Tanzania to host the next Africa Region Social Security Forum at a date to be announced later. this will bring together all social security funds in Africa.
Kila mtu ana haki ya kukopa popote ilimradi akidhi masharti. iwe mimi iwe wewe hakuna shida! ishu hapa nikitaka changu napewe sio eti ninyimwe kisa kinajenga daraja la kigamboni? Kodi zetu mnapeleka wapi? acha ukanjanja Zombahata Mbowe alikopoa huko mamilioni kibao kuendeleza disko lake la bilicanasa, au hujui?
Wakulima wahakikishiwa huduma bora
Hawa ndiyo wasomi wetu Tanzania,eti wapo kwa maslahi ya wananchi