Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #141
Kwani mkuu,kuua si kuua tu au???Wanaua bila purpose ndo wanapatwa na hayo uliyoyasema ila wanaoua kwa justifiable reasons kama uhai wa watu wengine hao hata hawasumbuki.....Guilty ndo inayomaliza sasa ukiwa umeua ligaidi utapata wapi guilty
Mbela ya mungu na wanadamuDhambi kubwa
Ulikuwa hujui 😂😂😂Kwani alikua mpambe wa moi???
Utampelekeja mahakamani walamba asali ww 😂😂😂 ushawahi sikia ruto au kenyatta family mahakamaniHii issue ipo deep sana.Vp kesi ipo MAHAKAMANI
Kuna siku odinga alikua anampa dongo kua asimseme uhuru kakulia ikulu wakati hata yeye alikulia ikulu na mzee moi.Ulikuwa hujui 😂😂😂
Daah hili nalo neno.NimekuelewaUtampelekeja mahakamani walamba asali ww 😂😂😂 ushawahi sikia ruto au kenyatta family mahakamani
Wewe pimbi toka Kolomije ndiyo unataka tuweke ushahidi hapa? Unayo elimu ya kuchambua ushahidi?Unaushaihidi? Tuanzie hapo
Sasa hapo lugha ya matusi unakosea mkuuWewe pimbi toka Kolomije ndiyo unataka tuweke ushahidi hapa? Unayo elimu ya kuchambua ushahidi?
Kenge hasikii hadi atoke damu masikioniSasa hapo lugha ya matusi unakosea mkuu
Una maana gani mkuuKenge hasikii hadi atoke damu masikioni
Hapana sijaua sema nimepoteza most of my bro,s in 1990,s through gang's violence.So i real wonder how gang banger,s feel(Sad or Happy)when they kill.You kill somebody and you will never go over it.Kama umekulia nje ya Tanzania hasa kwenye miji kama Toronto au South Central L.A au Chicago inner city au Boston unaweza kidogo kupata picha nachosema kuhusu mauaji i mean (Gang's Violence's).Ukute bro ushawahi kuua ndio mana umedadavua majuto baada ya tukio
Putin hayupo sawa na kuhusu JIWE no comment...!!!PUTIN na JIWE wao kuua kawaida
Umeshaua mtu sio bure[emoji1787]Kuna kitu wauaji huwa wanajihisi"Upweke"sababu hakuna furaha kwenye kutoa roho ya mtu hasa pale mnapokutanisha macho kwa ghafla wakati wa tukio husika.
Anakutazama kwa macho ya kukuuliza "Kwanini mimi"? Hata unapomvizia kwa ghafla pale mwili wa binadamu anapoanguka chini unajihisi hatia, ukimwekea sumu utajihisi hatia, ukimpiga risasi utajihisi hatia and ect.
Nazungumzia aina zote za mauaji sababu ukitoa uhai wa mtu lazima hisia mkondo(Sindikizi) za uhai wake utazihisi. Hakuna furaha kwa wauaji hata kama hawajashiriki moja kwa moja, nafsi zao huwasuta.
Sijui Mungu aliumba vipi roho ya mwanadamu sababu ukifanya dhambi ya kuua lazima ukose amani ya moyo. Mungu sijui aliweka nini katika hili, wauaji huwa hawana furaha na amani maisha yao yote hata kama walichofanya ni siri.
Asilimia kubwa ya wauaji huwa wanajuta baadae kimoyo moyo kuhusu walichofanya.
Hamna kitu hapaSio kila kuua ni dahambi na sio kila ya aliyeua ana furaha Kuna mauji ukikosa kuua ndio unakosa furaha na amani ila ukiua ndio unakuwa na furaha na amani tele
Kuna staution tatu(3) ambazo naweza kuua mtu na baada ya kuua nikafurahi na amani tele
1) Ukitaka kuondosha uanaume wangu/Manhood (kunirawiti) kwa njia yoyote either chuki/unidharirishe nk nikifanikiwa kupata kipande Cha ubapa/Zuna/Panga nakupelekea makali.
2) Ukitaka kuniua, ukiwa kwenye staution ya kuniua either mwizi umekuja unidhuru uniibie, chuki, migogoro nikikamata kishoka nakupelekea kweli sitanii
3) Ukitaka kuua wakaribi yangu (wazazi, wadogozangu, mke) nikikikamata kipande cha bisibisi napeleka shingoni
Najaribu kuvaa viatu vya wauaji hasa gang banger's.Umeshaua mtu sio bure[emoji1787]
Ana haki ya kutoa maoni yakeHamna kitu hapa