ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kutoa historia kunaboa vipHuyu anatangaza mpira au anatoa historia za team zichezazo? Anaboa hatariii
Si anaweka record na kumbukumbu zao
Kutoa historia kunaboa vipHuyu anatangaza mpira au anatoa historia za team zichezazo? Anaboa hatariii
Record na kumbukumbu ziko mtandaoni watu wakitaka watazipata huko, atangaze mpira sio kuhutubia, LolKutoa historia kunaboa vip
Si anaweka record na kumbukumbu zao
Hakuna commentator mzuri Azam media kama Mzinga anaujua Mpira hadi unajua history na records zoteKunae mtu alikua ananambia kuhusu Mzinga, sikuwa namfahamu hapo mwanzo, siku namuona kwa picha, kumbe nishawahi kutana nae live mara nyingi nikiwa campus,
Afu sikujua km ni mtangazaji mpira, kwa jinsi alivyokuwa anakandiwa, niliona km anaonewa, siku nikakaa kumsikiliza, ilikua mwaka jana, kwenye match za kimataifa, sijui Yanga na nani vile, niliboreka hatari.
Dkk 30 tyuuh tena zinaweza kuwa nyingi hizo, ndo alitangaza mpira, zilizobaki zote ni kutoa historia ya team na wachezaji wake, utadhan anatoa hotuba, toka siku ile, sitaki hata kumsikia, watu tunataka utangaze mpira, sio kutoa historia, watu wakitaka historia wataenda Google huko. Lol
Anaboa bhana, anatakiwa kubadilika.
Kwani akisema Ngoma alikwahi kuchukua kombe la shirikisho akiwa Raha Sasa ana uzoefu daaaah namna Gani pale gooooooooRecord na kumbukumbu ziko mtandaoni watu wakitaka watazipata huko, atangaze mpira sio kuhutubia, Lol
Mpaka sasa sijaelewa mtangazaji ana usikaje kwenye timu kufunga au kufungwa, pia mtangazaji anatangaza kile ambacho hata mtazamaji anakiona sasa Mzinga analaumiwa na kutukanwa kwa kosa lipi?Hii inchi watu sijui ni stress za maisha au uwelewa mdogo, hao uliowataja Simba na Yanga kukataa watangazaji wote ni wajinga, mtangazaji anaathiri vipi mpira unaochezwa? Wachezaji wala hawamsikii na hata benchi la ufundi sasa ana mchango gani kwenye final results kama sio ujinga ni nini?
Mimi naangalia mpira ingawa ni mechi chache zikitangazwa na hao lakini sioni huo ushabiki wa waziwazi naona wanaripoti matukio ya uwanjani na hata likifungwa goli wanasherehesha sawa tu.
Pia na wewe una matatizo nilikuwa naona una uwelewa wa mambo kumbe unaanza kuwapa watu mashaka juu ya hilo, sasa lugha ni dini au? na kiswahili na kiingereza na lugha nyingine wanazotumia wanakuwa kwenye mlengo wa dini? Maana watangazaji wetu wa kiswahili huwa wanatumia vijimaneno vya kuchombeza vya lugha tofauti tofauti kulingana na ufahamu wao, wanaingiza kiingereza, kifaransa, kihispaniola, kiarabu n.k
Nimewahi cheki mechi za Mzinga anajitahidi kuanalyse matukio na profile za wachezaji na benchi la ufundi na timu kwa ujumla
Mpenja sioni shida ndiyo style yake ya kutangaza sio lazima aige wengine, hamna template imewekwa duniani kwamba wote mfuati hii ndiyo kanuni.
Kwako wee, ila sio kwangu. LolHakuna commentator mzuri Azam media kama Mzinga anaujua Mpira hadi unajua history na records zote
Anachosha na anakera pia, kwangu binafsi.Kwani akisema Ngoma alikwahi kuchukua kombe la shirikisho akiwa Raha Sasa ana uzoefu daaaah namna Gani pale goooooooo
Kuna shida gani
Mpira sio vitu vyakoAnachosha na anakera pia, kwangu binafsi.
ndio maana mpenja hatangazagi game za ulayaAnachosha na anakera pia, kwangu binafsi.
Muwe mnasikiliza watangazaji wa kiingereza,wana details,kutangaza mpira siyo matukio tuHuyu anatangaza mpira au anatoa historia za team zichezazo? Anaboa hatariii
Mpira hata kama hauchezwi atangaze tu!?.. tatizo mmejifunzia mpira azam tvKunae mtu alikua ananambia kuhusu Mzinga, sikuwa namfahamu hapo mwanzo, siku namuona kwa picha, kumbe nishawahi kutana nae live mara nyingi nikiwa campus,
Afu sikujua km ni mtangazaji mpira, kwa jinsi alivyokuwa anakandiwa, niliona km anaonewa, siku nikakaa kumsikiliza, ilikua mwaka jana, kwenye match za kimataifa, sijui Yanga na nani vile, niliboreka hatari.
Dkk 30 tyuuh tena zinaweza kuwa nyingi hizo, ndo alitangaza mpira, zilizobaki zote ni kutoa historia ya team na wachezaji wake, utadhan anatoa hotuba, toka siku ile, sitaki hata kumsikia, watu tunataka utangaze mpira, sio kutoa historia, watu wakitaka historia wataenda Google huko. Lol
Anaboa bhana, anatakiwa kubadilika.
Unajua ulicho kiandika lakini? LOLMpira hata kama hauchezwi atangaze tu!?.. tatizo mmejifunzia mpira azam tv
Tunataka kutangaziwa matukio, sio details.Muwe mnasikiliza watangazaji wa kiingereza,wana details,kutangaza mpira siyo matukio tu
Kwanini?ndio maana mpenja hatangazagi game za ulaya
Mpira ni vitu vyangu kabisaa, hivi ni anafanya analysis au anatoa historia? Ndo atumie muda mwingi hivyo? AaahMpira sio vitu vyako
Commentator mzuri laZima afanye analysis ya kutosha
Awape record za mashindano, wachezaji na ma Coach
mpira umebadilika kutangaza matuki6 ilikuwa zamani saiz toa hata ufafanuzi wa matukioTunataka kutangaziwa matukio, sio details.
Full stop