Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

Analysis ya Mzinga na hao waswahili wengine ni tofauti na ile inayofanywa na watangazaji wa kiingereza. Hapa siongelei kutoa data za huyu kocha amefundisha timu hii na timu hii. Sijui nilielezee vipi tofauti yao ila naijua vizuri na ndiyo inayonivutia huko.
Unachotaka kueleza nakuelewa vizuri, nafikiri kurahisisha unazungumzia analysis ya watangazaji wa nje kama ambavyo marehemu Kashasha kiasi alikuwa anaifanya kwenye matukio ya uwanjani
 
Watanzangazaji wa kiswahili wananiboa wanapomtaja kila mchezaji kwa majina matatu hadi manne!!!
Utasiki kibu dennis prosper kibu DEE, victor mwambungu mwambalaswa, yaani ujjnga mtupu.

Wenzetu untasikia tu messii, mbappe, rice n.k only single name
Hili nalo niliwahi kuliongelea. Clatous Chota Chama, Elie Mpanzu Kibisawala, Mohamed Hussein Zimbwe, Che Malone Fondoh...yaani kama tuko kwenye foleni ofisi za halmashauri.
 
Back
Top Bottom