Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

Kunae mtu alikua ananambia kuhusu Mzinga, sikuwa namfahamu hapo mwanzo, siku namuona kwa picha, kumbe nishawahi kutana nae live mara nyingi nikiwa campus,

Afu sikujua km ni mtangazaji mpira, kwa jinsi alivyokuwa anakandiwa, niliona km anaonewa, siku nikakaa kumsikiliza, ilikua mwaka jana, kwenye match za kimataifa, sijui Yanga na nani vile, niliboreka hatari.

Dkk 30 tyuuh tena zinaweza kuwa nyingi hizo, ndo alitangaza mpira, zilizobaki zote ni kutoa historia ya team na wachezaji wake, utadhan anatoa hotuba, toka siku ile, sitaki hata kumsikia, watu tunataka utangaze mpira, sio kutoa historia, watu wakitaka historia wataenda Google huko. Lol

Anaboa bhana, anatakiwa kubadilika.
 
Hakuna commentator mzuri Azam media kama Mzinga anaujua Mpira hadi unajua history na records zote
 
Mpaka sasa sijaelewa mtangazaji ana usikaje kwenye timu kufunga au kufungwa, pia mtangazaji anatangaza kile ambacho hata mtazamaji anakiona sasa Mzinga analaumiwa na kutukanwa kwa kosa lipi?
Kuhusu dini pia sijaelewa, hivi kuna lugha ya dini fulani au mtangazaji anasoma haya za kwenye vitabu vya dini fulani anapotangaza? Nisaidie kushangaa Muhimili Uliojichimbia
 
Anachosha na anakera pia, kwangu binafsi.
Mpira sio vitu vyako
Commentator mzuri laZima afanye analysis ya kutosha
Awape record za mashindano, wachezaji na ma Coach
 
Mpira hata kama hauchezwi atangaze tu!?.. tatizo mmejifunzia mpira azam tv
 
Linapofika swala la Simba na Yanga mwenye Masters anakuwa sawa na yule asiyejua kusoma wala kuandika.

Kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukulia kuhusu kuuwelewa mchezo wa soka na ulichokiandika umejivunjia heshima yako sana.

Ndio maana mjinga akinyamaza hugeuka mwelevu
ungepiga kimya hivi ungepungukiwa na nini?
Leo umeonyesha ni kwa jinsi gani unavyokuwa unaporomosha matusi ukiwa unaangalia mechi huku mfukoni umeweka chupa ya kisungura.

Na nna mashaka huwenda wakati unaandika huu uzi itakuwa umekunywa kisungura.
Leo mnyama mwenzangu umepoyola.
(Umeacha njia umeingia polini)
 
Mpira sio vitu vyako
Commentator mzuri laZima afanye analysis ya kutosha
Awape record za mashindano, wachezaji na ma Coach
Mpira ni vitu vyangu kabisaa, hivi ni anafanya analysis au anatoa historia? Ndo atumie muda mwingi hivyo? Aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…