Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

Laiti wangepata bahati watu hawa kutangaza mpira azam tv najua hata hawa akina baraka,mzinga wasingekuwa kama walivyohivi sasa
Chacha maginga,jesse john,marehem swedy bin mwinyi,na hayati mzee alex kashasha.

Hawa watu hawakuwa wanatoa historia wala kuleta maneno ya mtaani wao ni kutangaza tukio,namna alivyoupiga mpira,kwa nini kipa ulimshnda mpira,namna alivyo turn,na matukio mengine ya ndani ya uwanja, ijapokuwa walikuwa katika vituo vya radio huwezi kusikia wakisemea kuhusu warembo kama anavyofanya mwenzao nazareth upete. Hawa watu nilitamani sana watangaze mpira ktk tv,wana weredi mkubwa mno na tbc taifa kwa upande wa mpira kwa kipindi hicho iliheshimishwa na watu hao na sasa inaporomoka.
 
Rage kwa hakika hakukose
 
Yaani kuna watu wanaamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri kwa sababu ya watangazaji? WTF!?
 
Watanzangazaji wa kiswahili wananiboa wanapomtaja kila mchezaji kwa majina matatu hadi manne!!!
Utasiki kibu dennis prosper kibu DEE, victor mwambungu mwambalaswa, yaani ujjnga mtupu.

Wenzetu untasikia tu messii, mbappe, rice n.k only single name
 
Watanzangazaji wa kiswahili wananiboa wanapomtaja kila mchezaji kwa majina matatu hadi manne!!!
Utasiki kibu dennis prosper kibu DEE, victor mwambungu mwambalaswa, yaani ujjnga mtupu.

Wenzetu untasikia tu messii, mbappe, rice n.k only single name
nj wale wanaosema hu meang son,min jae kim,maximilian bailer,neymar santos junior nao ni waswahili?
 
Sicho mambo yalivyo, tazama mpira ulaya usikie details,mi hata africa huweka super sport nisikie details,maana watangazaji wabongo hawana details
Nafikiri kwenye hili tupo pamoja. Kuna baadhi ya watu hawaelewi tunachokisema. Watu wanadhani kusoma data ulizogoogle ndiyo analysis ya mchezo, wachezaji au timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…