Tena yule mjambiani mpumbavu katangaza wazi wazi kuwa tunanunua treni za mitumba ...mimi siku zote nasema kukubali kuwa chini ya sheria ni upumbavu maana sheria siyo HakiMkuu sheria hizo hizo zinakataza Serekali kununua vitu mitumba (used), je kwenye vichwa vya treni sheria imefuatwa? Hicho kichaka cha sheria tokeni maana hakiibebi serikali.
Senge sana lile jamaaKitenge ni mtu mjinga sana angeacha jamaa afumuliwe fuvu
Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).Kwanini hajapeleka mswaada bungeni zibadilishwa kama si mumoja kwa wanaoleta dhuruma
Nape ni waziri kwa sasa. Anaongoza wizar kwa kufuata sheria. Sheria kandamizi za Magufuli mpk leo hazijabadiloshwa. Mnataka Nape afanyeje ktk mazingira kama haya?
Wa kulaumiwa hapa ni Samia.
Mara nyingi Nape anesikika hadharani akiepezea nia ya kuzibadilisha. Lkn yawezekana bado hajapata baraka za bosi wake (rais)..Nape anatakiwa amshauri Raisi kwamba sheria hizo ni kandamizi ili zibadilishwe.
Baki na mavi yako hujui chochoteSukuma gang mtanyooka
Kumbe Loriondo kuna jangwa kama Marsabiti?View attachment 2285630
Inasemekana amekamatwa kutokana na hii picha + zingine 2 ambazo pia zipo Kwenye Tovuti ya BBC.Kwenye tovuti ya BBC inasema hizi Picha zimepigwa Kenya
Sh 10,000/= unit 28.1Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
View attachment 2285486
Sheria zibadilishwe kwa ajili ya mpuuzi mmoja wa Chandema aliyevunja sheria kwa kalamu yake mwenyewe...Nape anatakiwa amshauri Raisi kwamba sheria hizo ni kandamizi ili zibadilishwe.
Waziri anaandika pumba kweli. Ni busara kutokujibizana na raia wewe ukiwa ni kiongoz, na unapotraka kujibizana na raia, andika kwa lugha ya mtu ambaye ni kiongozi siyo lugha ya vichochorni.Bado wahuni wapo.
Ndivyo CCM inavyowalea vijana wake na wengi baba zao nao walikuwa viongozi waandamizi wa CCM. Huwezi ukapanda mchicha ukavuna mbaazi, lazima tu utavuna ulichopanda!Waziri anaandika pumba kweli. Ni busara kutokujibizana na raia wewe ukiwa ni kiongoz, na unapotraka kujibizana na raia, andika kwa lugha ya mtu ambaye ni kiongozi siyo lugha ya vichochorni.
Apeleke Kwenye baraza la mawaziri ikishindikana kwakuwa yeye ni mtenda haki aachie ngazi finish, hizi zingine ni ngonjera tu wanajifanya wanakondoo wanapo kosa vyeo.Mswada hauanzishwi na waziri ama wizara bila ya ridhaa ya mwenye nchi (rais).
Usitegemee waziri wa katiba na sheria aamue tu kupeleka mswada wa marekebisho ya katiba bila ya kupewa rukhusa na rais.
Au waziri wa ulinzi afanye mabadiliko ya sheria ya PGO bila ya kuridhiwa na rais.
Kwahiyo ndugu yangu, sheria hubadilishwa baada ya Baraza la mawaziri kuketi na kuridhia chini ya mwenyekiti ambaye ni rais wa nchi.
Mbona msiba ulishangiliwa karibu na Watanzania wote wenye akili timamu. Waliofiwa ni Sukuma gang na watu kama wewe. PeriodNape na Makamba wana laana ya kushangilia msiba
Yes, aliwaonea huruma sana watu kama Azori , Ben saanane na Lissu. Mungu akipenda amfanye kuni huko kuzimuMagufuli alikuwa na huruma sana ningekuwa mimi ndiyo Rais wangejua wawajui
Kashasahau kabisaaa, na Jiwe aliwanyoosha huyu na Makamba.Amesahau alivyotembea kutoka ocean road hadi Ikulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitenge ni mtu mjinga sana angeacha jamaa afumuliwe fuvu
Visasi sahivi vinatembea lol.Kiongozi aliyeondolewa madarakani Kwa kumteta mkuu wake wa kazi Kisha akashikiwa bastola hadharani lakini mwisho wake alitembea Kwa magoti kuanzia lango kuu la Ikulu all the way hadi kwenye unyayo wa jiwe na kuonesha unyenyekevu wote (ingawa ni wa kinafki) na kulia bila kusahau kusahau meno na kuomba kuwa amekosa sana! Hii pekee ingetosha kukosa credibility ya kuwa kiongozi maana hayo matukio yote psychologically yupo stressed na usikute Sasa hivi anatafuta kibonde nae amshushie zigo ambalo alitwishwa na jiwe