Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

Imani ni fumbo. Azory aliyekufa hakuwa na mungu ila Lissu aliyekuwa na Mungu alipona 😂😂 punguani wewe. Wazuri wengi walishaenda tena wakiwa bado wanahitajika japo si kwa kila mtu bali walioona kwa upeo wao kuwa walistahili kuwepo. Karume, sokoine n.k leo kwa Magu ndo iwe maombi ya wewe yeye kufariki.
Sinasema maombi ya mimi, nimesema maombi ya Watanzania waluo wengi
 
K

Kwa sensa gani uliyoifanya. Ukiona mnatumia nguvu kumchafua mtu ujue aliwashinda kwa vingi. Mnalazimisha kuonekana wengi huku ni genge la wachache tu. Ni rahisi tu, weka picha ya magu na lissu apige kampeni tena halafu watu wakapoge kura uone picha itakavyowin
 
So kama unayosema ni kweli ilikuwaje Jiwe akaiba kura? Kumbuka mchafu hachafuki
 
Hakuiba kura ni udhaifu wa taratibu za uchaguzi tu. Pambanieni katiba na tume huru tu maana yeye aliwaonesha uwazi wa uchaguzi unavyoweza kuwa kama wakiamua.
 
Back
Top Bottom