Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.

Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
 
Wadau msimjibu vibaya huyu sijui kama anaakili timamu msameheni
 
Mkuu ungetulia kwanza watu machungu yaishe ,macungu yakishapoa ndiyo uanze uchawa..

Watu wana machungu ya kupoteza ndugu ,siwezi kusema machungu ya mali maana mali na uhai ,uhai ni muhimu 100% kuliko mali.

Ungetulia kwanza na UCHAWA...Si mchapata nchi lopolopo ya nini?
 
Malaya mbovu wewe, hata sisi hatuwezi kukaa meza moja na wauaji wakiongozwa na ibilisi Samuy
FB_IMG_1760422784966.jpg
a. Tutaonana ICC.
 
Mkuu ungetulia kwanza watu machungu yaishe ,macungu yakishapoa ndiyo uanze uchawa..

Watu wana machungu ya kupoteza ndugu ,siwezi kusema machungu ya mali maana mali na uhai ,uhai ni muhimu 100% kuliko mali.

Ungetulia kwanza na UCHAWA...Si mchapata nchi lopolopo ya nini?
Acheni kujiliza baada ya kufanya uhalifu
 
Nyinyi na genge lenu la wahuni ndiyo mliofanya uhalifu wa kivita ,subiri Khan aka OCAMPO apitie mafaili mtiwe NYAVUNI.

Haiwezekani muwe mnateka tu watu kila siku mtegemee watu wawe KIMYA.

AFILE MUNU ASIGALE MUNU SHOW SHOW MANGONGA MTU KAZI.

#KATAA WAHUNI
#TUMEELEWANA
#TULIKUWEPO
 
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.

Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Wale waliokua wanamimina risasi, wanaingia mpaka kwenye nyumba za watu na kuua wafanyiwe sherehe kubwa ya kuwapongeza, wapeze na tuzo za ushujaa.
 
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.

Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.

Mimi naaamini mama Samia Hana Roho mbaya Wala Nia mbaya na Taifa- ila sasa naaamini wamaomzunguka na washauri wanaofaidika na uwepo wake ndio mnaopotosha Raisi, - ni Bora ungefunga mdomo wako kuliko kuongea mashushudu kama haya.

Raisi kapendekeza maridhiano na Mwanzo mpya nyie wajinga wachache mnachochea ujinga wenu,
Very stupid,very embicile,

Raisi jitennge ma kenge kama hizi tafuta watu sahihi( Technocratic around you)
 
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.

Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Kwanza na nyinyi mtafanya maridhiano na nani na wakati mmeiba kura? Watu milioni 32 walipiga kura lini na saa ngapi, kama ile tarehe 29 vituo vyenu vyote vilikuwa tupu?

Nyinyi ni wahuni tu mnaotakiwa kuondolewa madarakani kwa nguvu ya umma. I wish hiyo tarehe 9 Disemba, Gen Z wawaondoe kabisa kwenye majengo yetu ya umma washenzi wakubwa nyinyi.
 
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.

Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Wasikusahau nawe ukamatwe maana siku za nyuma ulikuwa na ukalibu nao
 
Kwani nani kaomba maridhiano wa wauaji tena. Mama atafute lawyers wa ICC hata maliza miezi 18
 
Hadi Askofu Mwamakula unataka akamatwe? Sasa ile kofia yake kama ganda la chungwa anayoivaliaga kisogoni ataivalia wapi tena?
 
Back
Top Bottom