MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wadau msimjibu vibaya huyu sijui kama anaakili timamu msameheniMaridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?
Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.
Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Mkuu ungetulia kwanza watu machungu yaishe ,macungu yakishapoa ndiyo uanze uchawa..Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?
Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.
Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Malaya mbovu wewe, hata sisi hatuwezi kukaa meza moja na wauaji wakiongozwa na ibilisi SamuyMaridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?
Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.
Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Ukikaa wewe kimya inatosha.Mkuu unaonaje ukakaa kimya!
Ni busara sana ndugu yangu kuliko hiki ulichoongea.
Acheni kujiliza baada ya kufanya uhalifuMkuu ungetulia kwanza watu machungu yaishe ,macungu yakishapoa ndiyo uanze uchawa..
Watu wana machungu ya kupoteza ndugu ,siwezi kusema machungu ya mali maana mali na uhai ,uhai ni muhimu 100% kuliko mali.
Ungetulia kwanza na UCHAWA...Si mchapata nchi lopolopo ya nini?
1st targetAcheni kujiliza baada ya kufanya uhalifu
Acheni kujiliza baada ya kufanya uhalifu
Wale waliokua wanamimina risasi, wanaingia mpaka kwenye nyumba za watu na kuua wafanyiwe sherehe kubwa ya kuwapongeza, wapeze na tuzo za ushujaa.Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?
Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.
Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?

Kwanza na nyinyi mtafanya maridhiano na nani na wakati mmeiba kura? Watu milioni 32 walipiga kura lini na saa ngapi, kama ile tarehe 29 vituo vyenu vyote vilikuwa tupu?Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?
Mtu kama Heche aliyewaunga mkono hawa wahalifu siku chache kabla ya uhalifu unaridhiana naye kitu gani? Au kina Mwamakula na Bagonza unaridhiana nao nini? Cha kufanya ni kukamata wachaochezi na wote waliohusika kisha kuwafungulia mashtaka.
Mama Samia uliwapa nafasi kwenye 4R wakaishia kukulipa uhalifu. Kwa sasa usicheke nao wala kuwaonea huruma wanaovunja sheria makusudi.
Wasikusahau nawe ukamatwe maana siku za nyuma ulikuwa na ukalibu naoMaridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi unaridhiana naye nini?