Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
We Ni mtabiri?Tulia uandike kitu kinachoeleweka. Kichwa cha habari na contents haviendani.
Nafikiri kesho akiamka atang'amua alichokiandika.Mkuu, kama wewe siyo fisadi, basi ni muathirika mmojawapo wa waliotikiswa na utawala huu, umeandika kwa hisia za chuki hadi umepoteza maana.
Nimesoma 'main heading' na 'content' vimepishana, ni kama uliandika huku ukikimbia kivuli chako!.
....hakuna mradi hata mmoja...!
Hii miradi yote iliyoibuliwa na kutekelezwa kwenye awamu hii, wewe hauioni, au labda ulitaka miradi gani itekelezwe, ili wewe useme miradi imetekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi inayopambana na ufisadi haiwez kumsumbua CAG na kumfuta kaziMkuu, kama wewe siyo fisadi, basi ni muathirika mmojawapo wa waliotikiswa na utawala huu, umeandika kwa hisia za chuki hadi umepoteza maana.
Nimesoma 'main heading' na 'content' vimepishana, ni kama uliandika huku ukikimbia kivuli chako!.
....hakuna mradi hata mmoja...!
Hii miradi yote iliyoibuliwa na kutekelezwa kwenye awamu hii, wewe hauioni, au labda ulitaka miradi gani itekelezwe, ili wewe useme miradi imetekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi inayopambana na ufisadi haiwez kumsumbua CAG na kumfuta kazi