Mkuu, kama wewe siyo fisadi, basi ni muathirika mmojawapo wa waliotikiswa na utawala huu, umeandika kwa hisia za chuki hadi umepoteza maana.
Nimesoma 'main heading' na 'content' vimepishana, ni kama uliandika huku ukikimbia kivuli chako!.
....hakuna mradi hata mmoja...!
Hii miradi yote iliyoibuliwa na kutekelezwa kwenye awamu hii, wewe hauioni, au labda ulitaka miradi gani itekelezwe, ili wewe useme miradi imetekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Ulikuwa unaandika yale uliyo ota usiku
Sio kila ukiotacho nikweli
Nina imani 110% na ninachokiandika hapa.
Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea pakubwa katika jambo hili
HAKUNA mfabiashara smart atakaefanya shughuli zake nje ya mfumo, hata akipiga dili atafanya ndani ya mfumo (na kisheria Kabisa).
Kila aliepo jela leo hali ikitendendeka si Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa au (kubwa lao) Mzee Kikwete atakaesalimika.
Kuwasulubu watu wasiohusika leo hii kwa ajili ya udhaifu katika kutunga na/au kufuatilia sheria wa Serikali zilizopita kutakuwa na tokeo MOJA TU: PRIVATE SECTOR KUFA.
Na ndio walipa kodi unaowategemea.
Kiuchumi mradi uliofanikiwa ni ule wenye returns zilizokusudiwa. Nionyeshe mradi wowote ulioanzishwa na Magufuli na unaleta returns leo hii.
Haswa mimi ndiye.We Ni mtabiri?
Mzee mbona zote zina returns kibwa sana1. Kivuko cha Bagamoyo.
2. ATCL.
3. Chato International Airport.
4. Tazara flyover.
5. Mizani barabarani.
Teh teh teh. Umeonaeeh!Hii thread imeandikwa saa 9 usiku. Nadhani either mtoa mada alikuwa bado ulevini au alikuwa yupo ndotoni, au amenyimwa papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumesikia mara nyingi wakurugenzi wakielekezwa wabuni vyanzo vipya vya mapato, means kodi zisizo na baraka ya bunge.Nina imani 110% na ninachokiandika hapa.
Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea pakubwa katika jambo hili
HAKUNA mfabiashara smart atakaefanya shughuli zake nje ya mfumo, hata akipiga dili atafanya ndani ya mfumo (na kisheria Kabisa).
Kila aliepo jela leo hali ikitendendeka si Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa au (kubwa lao) Mzee Kikwete atakaesalimika.
Kuwasulubu watu wasiohusika leo hii kwa ajili ya udhaifu katika kutunga na/au kufuatilia sheria wa Serikali zilizopita kutakuwa na tokeo MOJA TU: PRIVATE SECTOR KUFA.
Na ndio walipa kodi unaowategemea.
Mradi wa kulipia maiti mortuaryKiuchumi mradi uliofanikiwa ni ule wenye returns zilizokusudiwa. Nionyeshe mradi wowote ulioanzishwa na Magufuli na unaleta returns leo hii.
Tujadili somo lililopo, maana hata sheria zinakataza kujadili jambo lisilokilowepo kwenye shitaka.Nchi inayopambana na ufisadi haiwez kumsumbua CAG na kumfuta kazi
kwenda kule.na propaganda zako..hakuna anayekusikiliza..la da nikwambie asilimia 90 ya wananchi sasa wapo na Magufuli..sijui unaelewa hiyo...mpaka sasa wapo wafanya biashara wanaoneemeka kwa sababu sasa.wamepata fair competition na wengine.hakuna kuoneana...propaganda zanko labda kamwambie mmeo muyamalize ndani kwenu sisi huku hayatuhusuNina imani 110% na ninachokiandika hapa.
Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea pakubwa katika jambo hili
HAKUNA mfabiashara smart atakaefanya shughuli zake nje ya mfumo, hata akipiga dili atafanya ndani ya mfumo (na kisheria Kabisa).
Kila aliepo jela leo hali ikitendendeka si Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa au (kubwa lao) Mzee Kikwete atakaesalimika.
Kuwasulubu watu wasiohusika leo hii kwa ajili ya udhaifu katika kutunga na/au kufuatilia sheria wa Serikali zilizopita kutakuwa na tokeo MOJA TU: PRIVATE SECTOR KUFA.
Na ndio walipa kodi unaowategemea.
HahahaHii thread imeandikwa saa 9 usiku. Nadhani either mtoa mada alikuwa bado ulevini au alikuwa yupo ndotoni, au amenyimwa papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona zote zina returns kibwa sana
Kitendo cha kupunguza foleni tu ni faida ktk ukuaji wa uchumi
Pia miundombinu bora nayo ni chanzo kikubwa cha ukuaji uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenda kule.na propaganda zako..hakuna anayekusikiliza..la da nikwambie asilimia 90 ya wananchi sasa wapo na Magufuli..sijui unaelewa hiyo...mpaka sasa wapo wafanya biashara wanaoneemeka kwa sababu sasa.wamepata fair competition na wengine.hakuna kuoneana...propaganda zanko labda kamwambie mmeo muyamalize ndani kwenu sisi huku hayatuhusu