Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

you are still a fool unataka nani ashike urais mtu jasiri kama jpm hao vichaa wenu wanaoropoka kina lissu ndiyo waje watuletee ukichaa wao haa? hakuna ikulu ya kujaribu kutawala wakacheze huko

Endelea kuamini unachokiamini. Panda juu ya paa ya nyumba tangaza ujasiri wa mungu mtu wako. Tangaza kuwa Magufuli ameifanya Tanzania kuwa sawa na USA na Europe. Unaweza pia kumshukuru Magufuli maana bila yeye baba yako na mama yako wasingekutana ukazaliwa mtu wa aina yako.
 
MATAGA, mradi upi ulioasisiwa na Mwendazake unafanya vizuri Leo hii? SGR imekamilika? Ndege zimeleta faida au kuongeza idadi ya watalii kama mlivyotuambia? Viwanda vingapi vimejengwa na vinazalisha? Tumeuza mitumba mingapi Ulaya?
 
Mataga wana mavi kichwani
 
Daraja la Busisi umeshaona lilipofikia?
 
Back
Top Bottom