Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

Ndio shida za nyuzi za usiku wa manane.
 

Kiuchumi mradi uliofanikiwa ni ule wenye returns zilizokusudiwa. Nionyeshe mradi wowote ulioanzishwa na Magufuli na unaleta returns leo hii.
 
Pole sana Ulikuwa unaandika yale uliyo ota usiku
Sio kila ukiotacho nikweli

HAKUNA muimba mapambio atakae elewa nilichoandika. The fact you guys are what you are proves precisely my point.
 
Rail ya Standard Gauge imelelenga kuwasaidia ndugu zetu wa Rwanda kusafirisha mizizi yao kutoka na kwenda bahari ya Dar Es Salaam
 
Hukukitendea haki kingereza ulichokiandika katika habari yako hii. Kwani ulichokikusudia kuandika na ulichokiandika ni v2 viwili tofauti kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuchumi mradi uliofanikiwa ni ule wenye returns zilizokusudiwa. Nionyeshe mradi wowote ulioanzishwa na Magufuli na unaleta returns leo hii.

1. Kivuko cha Bagamoyo.

2. ATCL.

3. Chato International Airport.

4. Tazara flyover.

5. Mizani barabarani.
 
wenzio February tunasubiri uzinduzi SGR Dar Moro. Huyu atakuwa wale waliokuwa wakienda semina na training nje ya nchi wiki wakirudi wana 15m. Sasa zote alinunulia Alteza, akapanga apartment Mbezi beach! Sasa safari hakunaaa amebaki na mshahara wa serikali tu. Alikopa bank, Microfinance na zile za ofisini kwa interest. Mzee Baba kawakalia kooni dah so 😔 sad
 
1. Kivuko cha Bagamoyo.

2. ATCL.

3. Chato International Airport.

4. Tazara flyover.

5. Mizani barabarani.
Mzee mbona zote zina returns kibwa sana
Kitendo cha kupunguza foleni tu ni faida ktk ukuaji wa uchumi

Pia miundombinu bora nayo ni chanzo kikubwa cha ukuaji uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumesikia mara nyingi wakurugenzi wakielekezwa wabuni vyanzo vipya vya mapato, means kodi zisizo na baraka ya bunge.
 
Kiuchumi mradi uliofanikiwa ni ule wenye returns zilizokusudiwa. Nionyeshe mradi wowote ulioanzishwa na Magufuli na unaleta returns leo hii.
Mradi wa kulipia maiti mortuary
 
Makosa yake hayana tofauti na lile alilo lifanya Nyerere kuta sera ya ujamaa, hatuwezi kufanana kila mmoja na juhudi zake.
 
Kichwa cha habari na ulichoandika ni vitu tofauti kabisa, umekurupuka. Ila miradi sijui unazungumzia ipi maana hakuna hata mmoja uliosimama , na iliyokamilika unajifanya huoni ehhh meli kule kyela zishakamilika,daraja la mfugale tayari, ubungo pale pita ujionee, barabara ndio usiseme, vipi uko kwenu wamekosa kituo cha afya hahahaàaaaa reli ndio hiyo ishatia nanga morogoro ......
 
kwenda kule.na propaganda zako..hakuna anayekusikiliza..la da nikwambie asilimia 90 ya wananchi sasa wapo na Magufuli..sijui unaelewa hiyo...mpaka sasa wapo wafanya biashara wanaoneemeka kwa sababu sasa.wamepata fair competition na wengine.hakuna kuoneana...propaganda zanko labda kamwambie mmeo muyamalize ndani kwenu sisi huku hayatuhusu
 
Mzee mbona zote zina returns kibwa sana
Kitendo cha kupunguza foleni tu ni faida ktk ukuaji wa uchumi

Pia miundombinu bora nayo ni chanzo kikubwa cha ukuaji uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwe na AIBU hata kidogo,

Mv Bagamoyo ina return gani?
 

Attachments

  • 2261267_tapatalk_1571851230700.jpeg
    9.2 KB · Views: 14

Kajifunze kuandika properly kwanza. Kama kuandika peke yake kunashinda analysis kwenye economics utaiweza wapi?
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…