Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

Hata huu mradi wa umeme aliozindua medard kalemani kule geita hautafanikiwa?? Kwamba hautaweza kusambaza umeme??Au unaongelea miradi gani
 
Hata huu mradi wa umeme aliozindua medard kalemani kule geita hautafanikiwa?? Kwamba hautaweza kusambaza umeme??Au unaongelea miradi gani

Feasibility study ya huo mradi ilifanywa lini? Ni wakati gani mradi huwa considered kuwa umeanza?
Muwe mnasoma vitu na mjitahidi kuvielewa kabla ya kutoa comment.
 
Biashara nyingi za Hotel Zimedoda au kufa. Wapishi na walaji wamehamia kwenye
Side walk za Barabara za mjini.Blue Pearl ilishakufa.
 
Biashara nyingi za Hotel Zimedoda au kufa. Wapishi na walaji wamehamia kwenu Side walk za Barabara za mjini.Blue Pearl ilishakufa.

Kuna muimba mapambio mmoja anadai kuwa wafanyabiashara sasa wanafurahi kwa kuwa kuna fair competition!
 
February ipi hali toka dar hadi pugu tu bado
 
Makosa yake hayana tofauti na lile alilo lifanya Nyerere kuta sera ya ujamaa, hatuwezi kufanana kila mmoja na juhudi zake.
Karudia makosa ya nyerere hawa ni wazuri kwenye area zingine na si uchumi wanafeli
 
Biashara nyingi za Hotel Zimedoda au kufa. Wapishi na walaji wamehamia kwenu Side walk za Barabara za mjini.Blue Pearl ilishakufa.
Kwani hao side walk sio watanzania, nao waje wafanye biashara uswazi maana wateja wao mafisadi washafilisika chenchi ziko uswahilini kwetu huku ni mwendo wa chururu si ndondo, haba na haba hujaza kibaba na maisha yanasonga.
 
Hata miradi ya JPM hujaitaja unatoka povu la mlenda tu
 
Reactions: UCD
Endelea kuota! Hujaona miradi kibao inafunguliwa?
 
Kwani hao side walk sio watanzania, nao waje wafanye biashara uswazi maana wateja wao mafisadi washafilisika chenchi ziko uswahilini kwetu huku ni mwendo wa chururu si ndondo, haba na haba hujaza kibaba na maisha yanasonga.

Mafisadi ni wateule,shamba lile lile wanyama tofauti
 
Sehemu pekee ambayo unaweza kuandika hii maada ni chooni , pamoja na madhaifu yake kama binadamu magufuru katutoa mbali sanaa nchii hii ilikuwa inaelekea kuwa kama DRC au SOmalia kila mwenye nacho anaamua anachotaka yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yako mradi upi umefanikiws?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tubet kuwa February mnazindua SGR Dar-Moro.
Mimi nakataa si haiwezekani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota! Hujaona miradi kibao inafunguliwa?

Kufunguliwa kwa mradi sio mafanikio yake. Ngoja nikupe mfano halisi. Miaka ya 70 serikali ya Tanzania ilijenga (na kukamilisha na kisha kuzindua) studio ya kurekodi na kutengeneza santuri (vinyl discs) pale Mwenge ambapo sasa kuna mitambo ya TBC. Wakati inazinduliwa technology ya Radio Cassette ikawa imeingia nchini, matokeo yake hakuna hata disc moja iliyorekodiwa ili kuuzwa mitaani (ambalo ndilo lengo la huo mradi).
Kwa mtazamo wako hiyo project ilifanikiwa?
 
Hakuna uchawi juu ya Israel. Hata hivyo, siamini kuwa una akili ya kuelewa nilichoandika hapa.
nyie ndiyo wachawi mnaoiwangia nchi isiendelee et hakuna mradi wa jpm, utakao fanikiwa mtashangaa sana
 
kwa maana hiyo akili yako ilivyo ya kitoto unafikiria sgr itakapo kamilika kutakuwa na kitu kingine mbadala wa usafiri hivyo mhaitafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…