Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?!
Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa kurekodi video ya wasiojulikana wakiteka raia? Mbona kuna video nyingi sana mtandaoni za ngono"connection" zinazorekodiwa kwa siri katika mazingira magumu sana kuchukua video? Au ndio kusema akili za raia wengi zimetawaliwa na ngono zaidi?!