SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwanini wewe umekosa nini usirekodi hadi watu wakose uhai kisa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu ni tukio la ghafla na halikutegemewa na bunduki!Ni uoga tu wa raia uliopitiliza, wala hakuna mtu angeweza kupigwa risasi hadharani katika mazingira kama hayo.
Wewe ungeweza?Abiria wangepaswa kukataa mtu kushushwa kabla ya kupewa sababa za kuridhisha, mda wa kuuliza maswali ni mda mwafaka wa kuchukuwa video.
Ni changamoto sana lo
Ipi ile wanatembea camera ya nyumba ikawarekodi? Kama ni hiyo basi ni tofauti na mleta mada alichotaka, yaani ule muda varangati linatokea ndio anataka videoya panya road nshawahi kuiona moja