Hakuna jambo baya kama kumuhukumu mtu kwa mambo asiyoweza kuyapanga

Mtu akisoma tu elimu ya wazungu ; anaanza kuita wenzie wana IQ ndogo , wavivu ,maskini .

Kila mtu ana asili yake hapa duniani ,utapoteza muda kusema jamii fulani iko hivi wakati wanaishi ndiyo maisha yao.
 
Mambo mengi huja kwa yenyewe (naturally),, Mengine tunajipa wenyewe kama vile,kuvuta sigara, kunywa pombe badala ya maji na Maziwa,minyanduo isiyo rasmi,mema au mbaya ni Wewe tuu kusimamia upande,uutakao.
Nadhani kamaanisha yale yanayoitwa involuntary actions.. Matendo bila hiari, bila utashi
 
Hapo kwenye janjo tunaweza kupaepuka vipi sasa mkuu? Maana afadhali ya vyakula tunaweza kurudi kwenye uasili wetu kidogo... Shetani kweli yupo zake kazini aisee
Ni ngumu sana ndugu yangu ila mtoto akishazaliwa kama ni wa kike.. Mlee kike hasa na kama ni wa kiume mlee kiume hasa
 
Nina changamoto ya kuzaliwa na kigugumizi nimekuwa kivutio tangu nikiwa chekechekea hadi leo hii kazini zamani nilikuwa najiona sifai kabisa lakini saivi nimeshazoea wananitania kwa kuniigilizia wala sijari na ninacheka tu.
Japo kuna muda huwa nshindwa kabisa hata kutoa maoni hasa nikiwa mahali pa ugenini nk
 
Ni ngumu sana ndugu yangu ila mtoto akishazaliwa kama ni wa kike.. Mlee kike hasa na kama ni wa kiume mlee kiume hasa
Hii nadhani itasaidia kwa namna ya ndani ila kwa namna ya nje tuendelee kuomba Mungu awapambanie hawa vijana.
 
Hatari, huko tunakoelekea hali ndio inazidi kuwa mbaya, sijui tutawalea vipi watoto wetu aisee😅😅😅... Kila mtu anajificha kwenye mpango wa Mungu.
Ipitishwe sheria ya kunyonga🤣🤣🤣
Utaona wamekuwa rejali ghafla
 
Bora umejijua!
 
Hapo hadi Mimi nitakapoikamata hii nchi, endelea kufunga na kuomba ipo siku yaja ambayo Mungu ameipanga Thecoder aitawale hii nchi na hapo ndipo Sheria za namna hiyo zitakapo timilizwa😅😅😅
🤣🤣🤣🤣na ikawe heri
Siasa unaziweza
 
Nimesema nyingine zikupitie mbali
zipo zitakazo endana na wew na zisizoendana nawe
Kama hii ya kuongoza nchi🤣🤣🤣🤣🤣 Thecoder
 
Na kwanini umhukumu kwa lolote kati ya hayo?
 
Ila kuamini kwenye dini kwasababu tu umekuta wazazi wanaabudu kwenye hiyo dini ni ujinga flani. Yaani hata kujiuliza nini kilipelekea wazazi wako wakaamini hiyo dini unashindwa. Nisawa na kukuta wazazi wako wanapika kwa kutumia kuni na Wewe unaendelea kupikia kuni kwasababu unaamini kupikia kuni ndio kunafanya chakula kuwa kitamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…