Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
- #41
Imani huwa inamuingia mtu pale anapozoeshwa toka utotoni kufwata imani fulani , kwahiyo inakuwa ngumu kwa mtu kuachaIla kuamini kwenye dini kwasababu tu umekuta wazazi wanaabudu kwenye hiyo dini ni ujinga flani. Yaani hata kujiuliza nini kilipelekea wazazi wako wakaamini hiyo dini unashindwa. Nisawa na kukuta wazazi wako wanapika kwa kutumia kuni na Wewe unaendelea kupikia kuni kwasababu unaamini kupikia kuni ndio kunafanya chakula kuwa kitamu.