Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
-
- #41
Imani huwa inamuingia mtu pale anapozoeshwa toka utotoni kufwata imani fulani , kwahiyo inakuwa ngumu kwa mtu kuachaIla kuamini kwenye dini kwasababu tu umekuta wazazi wanaabudu kwenye hiyo dini ni ujinga flani. Yaani hata kujiuliza nini kilipelekea wazazi wako wakaamini hiyo dini unashindwa. Nisawa na kukuta wazazi wako wanapika kwa kutumia kuni na Wewe unaendelea kupikia kuni kwasababu unaamini kupikia kuni ndio kunafanya chakula kuwa kitamu.
Ukiwa na kigugumizi uwe mbabe, kuna mwanang ana kigugumizi ila ni mbavu japo pia ni mpole. Huyo kumtania uwe unajiweza la sivyo utakula mbata.Nina changamoto ya kuzaliwa na kigugumizi nimekuwa kivutio tangu nikiwa chekechekea hadi leo hii kazini zamani nilikuwa najiona sifai kabisa lakini saivi nimeshazoea wananitania kwa kuniigilizia wala sijari na ninacheka tu.
Japo kuna muda huwa nshindwa kabisa hata kutoa maoni hasa nikiwa mahali pa ugenini nk
Kuna puzzle hapo πHivi na hao nao huwa wanahisi hawakupanga? πππ
Hapo haipo mkuuπ πKuna puzzle hapo π
Kwa hiyo wanapanga tuHapo haipo mkuuπ π
Hao ni maamuzi yao binafsi mkuuKwa hiyo wanapanga tu
For sureHao ni maamuzi yao binafsi mkuu