Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
 
Salaam jamii Africa.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini,wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Haya mawazo yako ni ya kipumbavu kama kila mtu atakua kimya nani atakua kiongozi.
 
Hawataweza kutuua wote! Wafe wachache ….wengi wafaidike….so achs ubinafs.Hata hao wanao unaowapenda sana,wanaweza dhurika au kua na maisha mabovu na wew ukiwepo…..pave the way for betterment life.
Hawataweza kutuua wote, nakubali
Je wewe upo sehemu gani au ndiyo unaongea ukiwa nyuma ya keyboard
 
Salaam jamii Africa.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini,wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Nyerere na Karume wangejitenga na siasa, ungekuwa wapi leo?
Usichokijua ni kwamba, siasa inakuamulia hadi bei ya mkate&maisha Yako na uzao wako.
Muhimu tu;
Fanya siasa safi,pinga uovu, tenda haki.
 
Hawataweza kutuua wote, nakubali
Je wewe upo sehemu gani au ndiyo unaongea ukiwa nyuma ya keyboard
Niko sehem ambayo sauti yangu juuu ya huu udhalimu unaskika vyema….but soon nafikiria kutumia majina yangu halisi ili nisiendelee kuitwa keyboard warrior…hilo neno linaniboa saana.
 
Back
Top Bottom