Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,635
- 4,704
Kwa hiyo ukae usubiri yakutokee wewe? Wewe jamaa kama ni baba wa familia, basi ni failure kwa kizazi chako.Wewe upo hapa unareplay
Soka,
Mdude,
Na wengine wengi hawajulikani walipo
Kwa hiyo ukae usubiri yakutokee wewe? Wewe jamaa kama ni baba wa familia, basi ni failure kwa kizazi chako.Wewe upo hapa unareplay
Soka,
Mdude,
Na wengine wengi hawajulikani walipo
nawaza tu kwa sauti, NYERERE angekuwa na mawazo haya sasa hivi tanzania ingekuwa kama SA!Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Tunaomba wewe jasho lako na damu yako na muda wako vipotee kwa niaba yetu.Elewatu kwamba hata huu uhuru uliopo kuna jasho damu muda na garama za watu zimepotea
Wewe usiye mpumbavu unaongoza nini hadi sasa keyboard warrior!Haya mawazo yako ni ya kipumbavu kama kila mtu atakua kimya nani atakua kiongozi.
Kwa ushujaa wako ambao ndyo akili yako umezalisha nini?Endelea kuzalisha vizazi maskin kwa style hii ya Ccm ….uoga ndo akili yako.
Nyerere na wengineo hawakuwa keyboard warriors!Nyerere na Karume wangejitenga na siasa, ungekuwa wapi leo?
Usichokijua ni kwamba, siasa inakuamulia hadi bei ya mkate&maisha Yako na uzao wako.
Muhimu tu;
Fanya siasa safi,pinga uovu, tenda haki.
Mimi ni Baba wa familia niliyechagua maisha yanguKwa hiyo ukae usubiri yakutokee wewe? Wewe jamaa kama ni baba wa familia, basi ni failure kwa kizazi chako.
Siasa safi inahusiana na maendeleo ya mtu na nchiNimeongelea vitu ambavyo mwili ukikosa akili haikai sawa ,sasa siasa Safi inahusiana na nini
nimezalisha kiwanda kidogo ambacho by 2030kitakua kiwanda kikubwa ….Kwa ushujaa wako ambao ndyo akili yako umezalisha nini?
Frontline?Hana ubavu huoNyerere na wengineo hawakuwa keyboara warriors!
HIVI MNATAKA UHURU WA KISIASA AU MNATAKA UHURU WA KUFANYA VURUGU?
MNATAKA UHURU WA KISIASA AU MNATAKA UHURU WA KUTUKANA?
haya nyerere wetu wa sasa ingia frontline
Kitendo tu cha kufungua biashara ni uhuru mkubwa sana..Watu hatuna ajira,tumepambana kufungua vibiashara vya kusukuma siku kodi utitiri na mazingira magumu sana ya biashara vinatuacha hoi na madeni teleee! Uo uhuru uko wapi mambiligisi
Tuzike ama tusafirisheHuu ni msiba...
Well saidSalaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Hcho kiwanda umekianzishia kwenye hi nchi ambayo haina uhuru(kwa mjibu wako) na unategemea kuwa mzalishaji mkubwa kwa nchi hii ambayo unaiponda?Siasa safi inahusiana na maendeleo ya mtu na nchi
nimezalisha kiwanda kidogo ambacho by 2030kitakua kiwanda kikubwa ….
Hawa ndio wanachangia Kwa kiasi kikubwa kuwapoteza wenzao,yeye projects zake zinaenda lakini Mdude hajulikani alipoHcho kiwanda umekianzishia kwenye hi nchi ambayo haina uhuru(kwa mjibu wako) na unategemea kuwa mzalishaji mkubwa kwa nchi hii ambayo unaiponda?
HUONI KWAMBA UNAIGIZA?
SASA UNATAKA UKOMBOE NINI? AU UNATAKA KULETA NINI AMBACHO WATANZANIA HATUJUANI?nawaza tu kwa sauti, NYERERE angekuwa na mawazo haya sasa hivi tanzania ingekuwa kama SA!
Unazungumzia uhuru au kuwa huru kivipi?Tuzike ama tusafirishe