Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

Huo mfano wako una utofauti gan na ikiwa ndugu yangu kapotea hajulikani halipo? Na napoziuliza mamlaka hazinipi majibu..

Na yeye pia ameacha mke na watoto..!
Hii ni sawa kwakuwa kapotea without no reason lakini hebu fikiria , mwanaharakati anathubutu kumtukana Rais wa nchi hadharani,what happens
 
Siungi mkono hata siku moja mtu anayetumia matusi, lugha chafu, kejeli na mambo mengine yoyote ya kufedhehesha kwa kiongozi wa nchi. tena Rais.

Ila tujiulize kwanin wananchi wamejawa na hasira hivi.?
 
Maisha ni magumu ndiyo lakini tuwe na stara kwenye ukosoaji wetu
 
Narudia tena,Leo hii Tundu Lissu yupo mahabusu ila Nina uhakika familia yake haiwezi tetereka,sasa kuna wenxzangu6na Mimi
Nilikuwa nawaza haya mambo..
TUNDU LISSU, watoto wake na mke wake wapo ubelgiji wanatibiwa saikolojia kwenye mashule mazuri, nani analipa hzo gharama, hatujui..mara unasikia anatunisha tumbo "TUKINUKISHEEE" pumbavu tena pumbavu kabisa!

LEMA; yeye naye kila kitu kipo kanada..mke na familia, anakuja huku tone tone tuzuie uchaguzi{ YAANI TUZUIE NYOKO WA NYOKO}

kwanza serikali inawabembeleza sana na ni kwa sababu ina UTU sana na watanzania wenzao!

KILA ANAYEPOTEA ETI NI SERIKALI: WATU WAMEDHULUMIANA KWENYE MAGENGE YAO NA MADILI YAO ETI NI SERIKALI... KILA KITU NYOKO NYOKO..
 
Dah ngoja nitafute hela ya familia kubadikisha mboga.

Haya mengine tuwaachie waloamua kuyaingia
 
Nilikuwa nawaza haya mambo..
TUNDU LISSU, watoto wake na mke wake wapo ubelgiji wanatibiwa saikolojia kwenye mashule mazuri, nani analipa hzo gharama, hatujui..mara unasikia anatunisha tumbo "TUKINUKISHEEE" pumbavu tena pumbavu kabisa!

LEMA; yeye naye kila kitu kipo kanada..mke na familia, anakuja huku tone tone tuzuie uchaguzi{ YAANI TUZUIE NYOKO WA NYOKO}

kwanza serikali inawabembeleza sana na ni kwa sababu ina UTU sana na watanzania wenzao!

KILA ANAYEPOTEA ETI NI SERIKALI: WATU WAMEDHULUMIANA KWENYE MAGENGE YAO NA MADILI YAO ETI NI SERIKALI... KILA KITU NYOKO NYOKO..
Kama kuna ukweli mwingi hapaaaaaaa
 
Nilichogundua,haitakuja kutokea watu wote wakakukubali Kama kiongozi,na sijawahi kuona watu wanasema "Huyu kiongozi wetu wa sasa ni mzuri sana",hii kauli utaiskia awamu ya huyo kiongozi ikishapita.....ni kma Hivi Tangu unazaliwa unasikia hili neno "Hali ngumu sana" Yan Huwezi kusikia Currently watu wanasema "Aisee Sasa hv Mambo mazuri sana".zaidi utaskia "maisha magumu sana" Yan Tangu nipo Mtoto naskia hii kauli.

Yan Sasahv nikiskia watu wanamzodoa kiongozi flan me Huwa Napita vile,hii ni kwa sababu Huwez ukakuta kikundi kimekaa hv kinamsifia kiongozi,au kinasifia hali nzr iliyopo,Rejeeni kutazama maisha ya Walibya zama za Gadafi ya yaliyotokea baada ya hapo.
Hii nchi hta ukipewa wewe utajishangaa na upuuzi unaouandika humu,tuacheni ujinga,muacheni Rais aongoze nchi
 
Nyinyi kikinuka ndio mnajiweka kundi la wanawake na watoto 🤣🤣🤣
 
Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Mkoloni mweusi

Mshamba anaedhani vitisho vimewahi kuzuia haki au zuri lisitendeke
 
Nilikuwa nawaza haya mambo..
TUNDU LISSU, watoto wake na mke wake wapo ubelgiji wanatibiwa saikolojia kwenye mashule mazuri, nani analipa hzo gharama, hatujui..mara unasikia anatunisha tumbo "TUKINUKISHEEE" pumbavu tena pumbavu kabisa!

LEMA; yeye naye kila kitu kipo kanada..mke na familia, anakuja huku tone tone tuzuie uchaguzi{ YAANI TUZUIE NYOKO WA NYOKO}

kwanza serikali inawabembeleza sana na ni kwa sababu ina UTU sana na watanzania wenzao!

KILA ANAYEPOTEA ETI NI SERIKALI: WATU WAMEDHULUMIANA KWENYE MAGENGE YAO NA MADILI YAO ETI NI SERIKALI... KILA KITU NYOKO NYOKO..
Well said
 
Siungi mkono hata siku moja mtu anayetumia matusi, lugha chafu, kejeli na mambo mengine yoyote ya kufedhehesha kwa kiongozi wa nchi. tena Rais.

Ila tujiulize kwanin wananchi wamejawa na hasira hivi.?
Watanzania ni watu ambao si wafuatiliaji wa mambo, wakiambiwa jambo wanaruka nalo..
Watanzani wachache wamejazwa ujinga mno..

Unakuta mtu anakwamby nchi hi siyo huru, lakn shughuli zake zote anaziendesha kwa uhuru mkubwa..
 
Mkoloni mweusi

Mshamba anaedhani vitisho vimewahi kuzuia haki au zuri lisitendeke
We mkoloni mweupe, HAPO ULIPO SASAIVI NI HAKI GANI UMEZUIWA?

HAPO ULIPO WE MKOLONI MWEUPE NI ZURI GANI UNATAKA LITENDEKE NA UMEZUIWA? KUKINUKISHA NI JAMBO ZURI?
 
Back
Top Bottom