Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
- #81
Kwa hizi akili utadhani upinzani mtachukua nchi ,unashindwa kujenga hoja unatype vitu vya ajabuMzazi wako angepiga nyeto angeokoa taifa

Vipi pale ambapo siasa inapoamua ule au usile. Au siasa inaamua ule chakula gani, hata kama hukipendi. Ref: Wananchi wa Geita VS Magufuli.Maisha yanahitaji vitu vitatu tu,
Chakula,
Vipi pale siasa inapoamua ulale au usilale, au siasa inakupangia Muda WA kulala, hata kama Muda huo si rafiki kwako kwa kulala. Ref: Rwanda Civil war-1993 au Goma crisis 2025Usingizi,
Vipi pale siasa inapoamua kuingilia mahusiano au ndoa yenu. Najua unajua Masuala ya feminism.
Hakuna mahala namcheka mwanaharakati ila nawaasa watoto wa masikini,MTU Kama Malcolm X na Martin Luther King Jr unawajua ?
Na unajua Obama ? Bila hao Martin Luther king Jr leo black wa marekani sijui Kama wangepata hata kuwa na Rais
Kila effort ina matokeo usiwacheke hao activist kuwa lockup or jailed or gunned
It will pay off one and Tanzania itakuwa free country
Dunia ikiwa na watu wawili aina Yako, itakua sio sehemu salama kuishi.Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Hakuna mahala namcheka mwanaharakati ila nawaasa watoto wa masikini,
Mbowe alikaa mahabusu
Lissu yupo mahabusu,
Nambie Yule asiye na kipato
Matajiri ndiyo wanaruhusiwa kwenye siasa, siyo?Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Basi useme hivyo sio kushauri watu wengine wafuate maisha yako uliyochagua.Mimi ni Baba wa familia niliyechagua maisha yangu
Kwa hiyo wewe kondoo hujiulizi kwanini huyo aende jela? Kwanini usione umuhimu wa kundoa huo upuuzi badala ya kubinua matako na kulala chini wakufanyie watakavyo?Najua huwezi kujua hilo,eti tumwache na Uhuru wake.
Ushajiuliza,kwamfano ndugu yako wa damu,
Yupo jela Kwa kesi za kisiasa ,huku nyuma
Kaacha mke na watoto,je utawasaidia?
Na kama utawasaidia,huoni tayari umebeba majukumu mengine wakati muhusika si marehemu
Chawa tu...Maisha ni magumu ndiyo lakini tuwe na stara kwenye ukosoaji wetu
It's better to live one day as a lion rather than 100 years as a sheep 🐏 🐑 😂Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Naam, kila mtu apambanie maslahi yake tu. Full stopSalaam jamiiAfrica.

Huyu ni miongoni mwa wanufaika.....anataka afaidi peke yake na kundi lakeEndelea kuzalisha vizazi maskin kwa style hii ya Ccm ….uoga ndo akili yako.
Fanya leo,weka identity kamili,jitokeze pigania ukombozi wa kweli,hakika utakuwa mmoja wa watu wa shoka
Mimi siasa hazihusu, wala hutasikia nalalamika niko busy natafuta pesa kwenye biashara yangu ya maziwa.Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Ukimuona mtu anasema hivi kuna mambo mawili au matatu.Mimi soasa hazihusu, wala hutasikia nalalamika niko busy natafuta pesa kwenye biashara yangu ya maziwa.
Akili za MATAAHIRA.
View attachment 3356591
Jitu linaona mtu asiye na hatia anauawa, lenyewe linazungumzia siasa.Ukimuona mtu anasema hivi kuna mambo mawili au matatu.
1.Ametumwa
2. Hana akili
Jaman NETO wapo wapiSalaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Gwajiboy amepinga uovu wamemshughulikiaNyerere na Karume wangejitenga na siasa, ungekuwa wapi leo?
Usichokijua ni kwamba, siasa inakuamulia hadi bei ya mkate&maisha Yako na uzao wako.
Muhimu tu;
Fanya siasa safi,pinga uovu, tenda haki.
PHDSalaam jamiiAfrica.