Hakuna jambo nzuri kama kuwa huru, usikubali kuwa Mbuzi wa kafara

Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Umekubali yaishee
 
Hata hao uliowataja wangekuwa na akili kama zako sijui tungekuwa wapi
 
Mkuu una haki ya kutoa mawazo yako lakini samahani naomba nikwambie tu kuwa haya mawazo yako ni ya kipumbavu na kimasikini....Unaonekana ni mtu fulani hivi una roho mbaya na umimi.
 
Jitu linaona mtu asiye na hatia anauawa, lenyewe linazungumzia siasa.

Kwahiyo UTU kwake unabagua.
Jitu jinga kabisa lililoleta mada na yawezekana bado kinda au la limejitoa ufahamu.
Eti "Politics in not my thing ...!"
Wachekee hao wanasiasa tuone kama barabara itatengenezwa na kama hayo maziwa hutayamwaga. mfano huu ktk kibonzo hiki unamfaa sana mleta mada.
 
Unahitaji akili kubwa kuelewa hii Mada,vitu si saizi yako usovikurupukie
 
We mwenyewe umezaliwa huo uhuru utaupata wapi wakati upo duniani kwa mipango wa wazazi wako
 
Watu kama Hawa waliingiaje Jf, akili kama hizi nyngi zipo TikTok na Telegram.
 
Nyinyi ndiyo mnaowaponza watu wanajukuta matatizoni huku nyie mkiperuzi mitandaoni wapumbavu sana
Dunia isingekuwa hivi kama watu wote tungekuwa na mentality kama Yako, Siasa ndio maisha halisi ya mwanadam haikwepeki.
 
Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Ukishasema "jitenge na siasa" hiyo ni siasa pia.
 
Hii taka taka hata ukichukua mke wake mbele zake ataogopa kusema,ndo watot wao wanabakwa alaf anaogopa kwenda kushtak kisa hataki kesi !! Baba wa aina Yako ni Bora usingezaliwa
 
Endelea kuzalisha vizazi maskin kwa style hii ya Ccm ….uoga ndo akili yako.
uko brainwashed ccm ni chama cha binadam kama vilivo vingine, mchezo wa siasa ni kukuaminisha watu wa ccm ni wanyama na watakaoingia ndo malaika unaowasubiri, unapoteza mda
 
Po
Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Politics is for the men. Real pilitics is for the real men. NOT for midiocres like you.
Do you understand or should I repeat myself.

Nimeanza kuhudhuria darasa la kingereza kwa ras simba mtanikoma kwa umombo
 
uko brainwashed ccm ni chama cha binadam kama vilivo vingine, mchezo wa siasa ni kukuaminisha watu wa ccm ni wanyama na watakaoingia ndo malaika unaowasubiri, unapoteza mda
Yaan mpka uaminishwe Kwan wew huna akili timamu au kipofu huoni yanaendelea.
 
hayamaanishi ccm wakitoka ndo maisha yamefika paradiso, mapungufu yapo lakini ya kimaisha, wakina trump wanachapwa mpaka sniper tunaelewa tu
 
Salaam jamiiAfrica.

Unataka kuwa huru?

Unataka kuwa na Amani?

Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?

Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?

Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.

Acha kuiongelea siasa.

Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,

Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,

Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.

Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.

Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,

Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.

Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.

Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Hakuna maendeleo.
 
Back
Top Bottom