Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Wewe upo hapa unareplayEndelea kuzalisha vizazi maskin kwa style hii ya Ccm ….uoga ndo akili yako.
Haya mawazo yako ni ya kipumbavu kama kila mtu atakua kimya nani atakua kiongozi.Salaam jamii Africa.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini,wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Wewe Una uongozi gani mpaka muda huuHaya mawazo yako ni ya kipumbavu kama kila mtu atakua kimya nani atakua kiongozi.
Hawataweza kutuua wote! Wafe wachache ….wengi wafaidike….so achs ubinafs.Hata hao wanao unaowapenda sana,wanaweza dhurika au kua na maisha mabovu na wew ukiwepo…..pave the way for betterment life.Wewe upo hapa unareplay
Soka,
Mdude,
Na wengine wengi hawajulikani walipo
Ni lini ulikuwa mstari wa mbele kutoa Hilo jasho na damuElewatu kwamba hata huu uhuru uliopo kuna jasho damu muda na garama za watu zimepotea
Hawataweza kutuua wote, nakubaliHawataweza kutuua wote! Wafe wachache ….wengi wafaidike….so achs ubinafs.Hata hao wanao unaowapenda sana,wanaweza dhurika au kua na maisha mabovu na wew ukiwepo…..pave the way for betterment life.
Nyerere na Karume wangejitenga na siasa, ungekuwa wapi leo?Salaam jamii Africa.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini,wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Hata nisipokua mimi lakini anayethubutu asipuuzweNi lini ulikuwa mstari wa mbele kutoa Hilo jasho na damu
Niko sehem ambayo sauti yangu juuu ya huu udhalimu unaskika vyema….but soon nafikiria kutumia majina yangu halisi ili nisiendelee kuitwa keyboard warrior…hilo neno linaniboa saana.Hawataweza kutuua wote, nakubali
Je wewe upo sehemu gani au ndiyo unaongea ukiwa nyuma ya keyboard
Maisha yanahitaji vitu vitatu tu,Yule mke wa Afande bado unamtongoza? Au ulimkmbia afande baada ya kukupelekea moto?!
Wakati huu unakula supu na mchemsho wanaharakati wapo Lockup hawajui hatma zao.Hata nisipokua mimi lakini anayethubutu asipuuzwe
Umesahau cha4 ambayo ni siasa safi…huwez kupata hvyo vitatu hapo juu kama hakuna siasa safi.Maisha yanahitaji vitu vitatu tu,
Chakula,
Usingizi,
Sex
Sex ni moja ya hitaji la kila binadamu aliyekamilika
Jikite kwenye Mada
Fanya leo,weka identity kamili,jitokeze pigania ukombozi wa kweli,hakika utakuwa mmoja wa watu wa shokaNiko sehem ambayo sauti yangu juuu ya huu udhalimu unaskika vyema….but soon nafikiria kutumia majina yangu halisi ili nisiendelee kuitwa keyboard warrior…hilo neno linaniboa saana.
Nimeongelea vitu ambavyo mwili ukikosa akili haikai sawa ,sasa siasa Safi inahusiana na niniUmesahau cha4 ambayo ni siasa safi…huwez kupata hvyo vitatu hapo juu kama hakuna siasa safi.