ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Kwenye kuwapa Elimu nakuunga mkono mkuu.
Granite, huwa naongea na vijana wenye maduka, diwani.
Nakula kwa mama ntilie, naamka asubuhi kuangalia view, tremendenous view.
Kama desturi yangu naenda stand ya masasi naongea na watoto wanauza kahawa, kashata, ila moyo huwa unaniuma nikawaona asubuhi sana watoto wanauza chai saa kumi na moja asubuhi.
Jioni, usiku, natembea uwanja wa fisi, masasi mjini naongea na kina mama wanauza chakula mtaani.
Wamejipanga vizuri sana Masasi stand nawapongeza kuwasaidia wakinamama kuwapa maeneo mazuri sana mbali na barabara.
Wakipata buku kumi wako fresh. Ila nikiongea na watoto wao wa kiume, wasichana mara nyingi moyo unaumia. Hawajali elimu kabisa.
Nafikiri serikali inaweza kusaidia, watoto wasome, wasiwe nje usiku.
Pia wapate bima wakiumwa, uwezo wa kulipa wanao. Muhimu kuwapa elimu.