Hakuna jamii iliyolala Tanzania kama watu wa kusini

Kwenye kuwapa Elimu nakuunga mkono mkuu.

Granite, huwa naongea na vijana wenye maduka, diwani.

Nakula kwa mama ntilie, naamka asubuhi kuangalia view, tremendenous view.

Kama desturi yangu naenda stand ya masasi naongea na watoto wanauza kahawa, kashata, ila moyo huwa unaniuma nikawaona asubuhi sana watoto wanauza chai saa kumi na moja asubuhi.

Jioni, usiku, natembea uwanja wa fisi, masasi mjini naongea na kina mama wanauza chakula mtaani.

Wamejipanga vizuri sana Masasi stand nawapongeza kuwasaidia wakinamama kuwapa maeneo mazuri sana mbali na barabara.

Wakipata buku kumi wako fresh. Ila nikiongea na watoto wao wa kiume, wasichana mara nyingi moyo unaumia. Hawajali elimu kabisa.

Nafikiri serikali inaweza kusaidia, watoto wasome, wasiwe nje usiku.

Pia wapate bima wakiumwa, uwezo wa kulipa wanao. Muhimu kuwapa elimu.
 
Lakini kuwepo kwa vyuo kunaleta maendeleo na mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa kama ilivyo dodoma kwa sasa mji unachangamka sana.
Yes ni sahihi mkuu kwa hoja hii nakubaliana na wewe pia
 
Lakini kuwepo kwa vyuo kunaleta maendeleo na mzunguko wa pesa unakuwa mkubwa kama ilivyo dodoma kwa sasa mji unachangamka sana.
Yes ni sahihi mkuu kwa hoja hii nakubaliana na wewe pia
 
Kuhusu kuchange mindset ni sahihi sana,ila kikubwa ni kuwapa elimu hawa vijana.

Ninao vijana wangu wapo huko najitahidi kuwafundisha maisha halisi yalivyo na umuhimu wa elimu.
 
Yaani mnataka mletewe SGR wakati hakuna lolote huko hadi sasa, hiyo pesa ya ujenzi tutakuwa tumeizika tu
 

Uwanja waa fisi nyuma ya stendi ya mabasi masasi napafaham wanachoma sana nyama...utakua mwenyeji mkuu
 
MKAPA alikuwa mtu mzalendo, hakutaka kupendendelea kwake, Alikuwa very objective kwa kuangalia various corners za Tz.
Hakutaka kufanya Regionalism,
Usishangae....




 
Nimetoka home singida nimekuja kutafuta maisha kusini huku nilichokigundua mpaka sasa NI kweli Kuna fursa nyingi na NI wakati sahihi Sasa serikali isimamie lng ya Lindi inufaishe huu mkoa...Bado kupo nyuma Sana at least mtwara na masasi ndo pakula Bata
 
Mikoa mingine kama mwanza,Dodoma,Arusha,Kilimanjaro na Dsm,uelewa hata wa mambo ya kawaida tu ni tofauti na vijana wengi tuliopo kusini i stand to be corrected
Nipo kusini mwaka wa4 sasa..uko sahihi kabisa..vijana wa kusini wengi elimu ndogo sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuhusu kuchange mindset ni sahihi sana,ila kikubwa ni kuwapa elimu hawa vijana.

Ninao vijana wangu wapo huko najitahidi kuwafundisha maisha halisi yalivyo na umuhimu wa elimu.
Yani mindsets ikibadilishwa na kila jambo litaenda vizuri
 
Lakini kiukweli tu serikali nayo kuna maeneo inapendelea mnoo, kwa mfano Dodoma isingekuwa makao makuu pangekuwa duni kuliko hata Mtwara.
Yani mindsets ikibadilishwa na kila jambo litaenda vizuri
 
Lakini kiukweli tu serikali nayo kuna maeneo inapendelea mnoo, kwa mfano Dodoma isingekuwa makao makuu pangekuwa duni kuliko hata Mtwara.
Hilo la kupendelea inaweza kuwa kweli,lakini na muamko wa watu wenyeji kuwekeza napo huongeza hamasa ya maendeleo kuliko serikali, Kilimanjaro ni mkoa wenye vita na serikali tangu enzi za Nyerere ila watu wake wanajitahidi sana kuunyanyua mkoa na hata kuwekeza Ili pasisahaulike hata ujenzi wa mashule mengi huku kukiwa na idadi ndogo ya wanafunzi wake.
So raia waamke waache kucheza ngoma na ngono wawekeze kwenye vitu vyasingi huko kusini Wana ardhi kubwa, bahari na kila waamke Sasa na kusisitiza elimu kwa wingi wafunguke akili
 
Àmepeleka jimboni kwake. Kàma ulivyojengwa uwanja wa ndege wa Chato nyumbani kwa mtu na jimboni kwake.
Kwani jimboni kwake ni kusini au kaskazini? Asingepeleka jimboni kwake angepeleka wapi ambako hakuna jimbo huko kusini?
 
Mikoa mingine kama mwanza,Dodoma,Arusha,Kilimanjaro na Dsm,uelewa hata wa mambo ya kawaida tu ni tofauti na vijana wengi tuliopo kusini i stand to be corrected
Sio kweli, hata wao kuna mambo hawawezi elewa hata uwaambie nini. Ni vile ww kwako ni kawaida ila kwake ni geni. Mfano mtu wa Dodoma ukimuulizia kuhusu Kilimo cha Zabibu atakujibu kwa mapana tofauti na Mtu wa Lindi, na wa Lindi ukimuuliza kuhusu Uvuvi atakujibu kwa ustadi kuliko wa Arusha.
Usijibague kwa kiwango hiko. Nimezurula sana TZ yote hii. Ni kundi la vijana wachache wenye uelewa wa mambo muhimu na makini ambayo wewe unayaona ya kawaida. Wengi wao ni wale walioenda shule.
 
Mkuu umefikia hadi kulinganisha SINGIDA na MTWARA? Mtwara pazuri sana kwa mikoa ya kusini sio RUVUMA (SONGEA) wala LINDI utaweza linganisha na Mtwara kuanzia huduma za kijamii, kiuchumi nk
 
Nafanya kazi kusini huu mwaka wa saba.... Hawa jamaa ni wa hovyo kabisa wasiletewe mradi wowote, serikali ittapata hasara ni wavivu sana na wanategemea zao moja la biashara lenye msimu mmoja yaani korosho tuu..... Zikikataa basi mwaka unaofuata watakuwa na maisha magumu sana na zikikubali hawajui wafanyie nini pesa walizopata ndipo huamua kuanza anasa za hovyo hata kufuru yani wanaweza kununua pikipiki wakaoshea maji safi ya chupa yanayouzwa kwa ajili ya kunywa...... Au wakamnywesha mbuzi soda na kufuru nyingine za kipuuzi
Yani hawa jamaa ni kama wamelaaniwa
Hovyo kabisa
 
Jinga sana mtu za kusini..zinawaza ngono tu muda wote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…