HAKUNA KAMA TANZANIA

HAKUNA KAMA TANZANIA

Hao wanaosoma kenya hawafiki ht ten percent ya raia wetu.
Halafu huko watu wamefata elimu tu sio maisha.
Maana kenya mna maisha magumu hakuna atayependa ishi huko.
Tungekuwa na maisha magumu ombaomba wenu hawangevamia mjtaa zetu kama nzige na bakuli mikononi! 😂 😂 😂
 
Tungekuwa na maisha magumu ombaomba wenu hawangevamia mjtaa zetu kama nzige na bakuli mikononi! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na nyie mngekuwa na maisha mazuri wananchi wenu tusingewasweka ndan huku Tz kwa wizi na ujambazi.
 
Afadhali maskini wa Kenya anajua maisha yake haipo hatarini .Pale Tz ukiwa maskini unatafuta mtanzania mwenzako albino ili umchinje kinyama sababu ati kuondoa umaskini.
Nyie Tanzania ni maskini ,wauaji na warogi sana mimi sipendi hiyo paradiso yenu ya kifo na giza.

Unafahamu nini maana ya an isolated incidents.
Kenya kuna night runners, ina maana wakenya wote wako hivyo?
 
Kenya wakijua wewe ni mtanzania wazazi wa binti watafanya kila wawezalo kuhakikisha wanakuolesha visichana vyao, wanapapatikia sana vijana wa kitanzania sababu wanajua watoto wao ndio wameshatoka kimaisha hivyo
ATCL mtaikomboa lini huko SA? 😂😂😂
 
Watanzania wanaokimbilia kuoa Kenya kukwepa gharama wabanwa
Thursday August 22 2019
Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
BY Anthony Mayunga, Mwananchi amayunga@mwananchi. co.tz
IN SUMMARY
Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
Advertisement
Serengeti. Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
Akizungumza leo Alhamisi Agosti 22, 2019 ofisa uhamiaji Wilaya ya Serengeti, Henry Kilangwa amesema wamebaini kata ya Manchira wilayani humo, wakazi wake wengi ni wa kabila la Wakisii na Wamalagori wanaotokea Kenya.
"Nimeishawaeleza walio na wanawake wa Kenya waje ofisini wawalipie Sh100,000 kwa miaka miwili sawa na Sh50,000 kwa mwaka ili waweze kuishi Tanzania,” amesema.
Amesema watakaoshindwa kufanya hivyo watasakwa popote walipo kwa maelezo kuwa kuishi nchini bila kibali ni kosa.
Amewataka raia hao wa Kenya kutojiingiza katika siasa, kutofanya juhudi za kupata kitambulisho cha uraia wala cha kupiga kura kwa maelezo kuwa hawana sifa kisheria

Ukishaoa kwa RITA kabisa huna cha kulipia kibali!

Acheni bangi!

Mtu akishaolewa ni basi,anakua na haki ya kuishi bila bughudha!

Acheni vituko!

Labda mseme “ndoa” za mdomoni!

Yaani masuria!
 
Afadhali maskini wa Kenya anajua maisha yake haipo hatarini .Pale Tz ukiwa maskini unatafuta mtanzania mwenzako albino ili umchinje kinyama sababu ati kuondoa umaskini.
Nyie Tanzania ni maskini ,wauaji na warogi sana mimi sipendi hiyo paradiso yenu ya kifo na giza.
Habari ya lini hii ya kuua albino?
Bado inaendelea mpaka sasa?
 
Nyang'au munawolewa cheaply ili mpate nafasi ya kuishi peponi
ATCL imekamatwa kule SA kwa sababu ya Madeni, yani Serikali yenu imeshindwa kulipa parking fees, fuel na cost zingine zinazohusika kuendesha Ndege 😂😂😂 eti mkijarubu kushindana na Air Rwanda....hamuwezi wanyarwanda sembuse Air Uganda, KQ hata msiote...bure kabisa.
 
Hadi kwenye miji midogo midogo kama Murang'a na Kisii utapata magenge ya omba omba wa kitanzania. Wachuuzi nao ndio usiseme, niliwapata vijana kutoka Tanzania wakichuuza soksi na vests Isiolo County. Yaani hapo ni County moja tu kisha uingie Ethiopia na S.Sudan.
Siyo kweli
Ukweli ni kuwa Serikali ya Kenya imeipita Serikali ya Tanzania kwa mapato
Lakini watu wa Kenya ni masikini sisi wa Tanzania raia wengi tuna uwezo usitufananishe na nyie hatuwezi kutamani kuishi Kenya, Ethiopia,S Sudan nyie ndio mnatamani kuishi kwetu.
 
Hawa wajinga wanapenda kujidanganya sana na hii LDC yao wakati jamaa zao wanakimbilia kuishi Kenya kujimudu kimaisha. There's nothing worse than the lies you tell yourself .
Usituite wajinga jibu hoja
Hakuna mu Tanzania wa kawaida anatamani kuishi Kenya kwenye shida labda awe na uwezo aje kufanya biashara nyie raia ni maskini wakutupwa Serikali yenu ndio yenye uchumi
Uchumi wa Kenya ni wa mabwenyenye vigogo wachache tu
Kama una Dada tuozeshe upate maisha
 
Afadhali maskini wa Kenya anajua maisha yake haipo hatarini .Pale Tz ukiwa maskini unatafuta mtanzania mwenzako albino ili umchinje kinyama sababu ati kuondoa umaskini.
Nyie Tanzania ni maskini ,wauaji na warogi sana mimi sipendi hiyo paradiso yenu ya kifo na giza.
Kama una Dada yako muozeshe Tanzania upate kuishi inchi ya maziwa na asali
 
Tungekuwa na maisha magumu ombaomba wenu hawangevamia mjtaa zetu kama nzige na bakuli mikononi! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli Kenya mna maisha magumu mno maisha ya wachache ndiyo yenye unafuu ila wa Tanzania wengi tunajimudu tuna ardhi nzuri mazingira rafiki hao omba omba ni wavivu wa kufanya kazi
 
ATCL imekamatwa kule SA kwa sababu ya Madeni, yani Serikali yenu imeshindwa kulipa parking fees, fuel na cost zingine zinazohusika kuendesha Ndege [emoji23][emoji23][emoji23] eti mkijarubu kushindana na Air Rwanda....hamuwezi wanyarwanda sembuse Air Uganda, KQ hata msiote...bure kabisa.
Nakuhakishia baada ya miaka 5 tutawapita mbali sana
 
ATCL imekamatwa kule SA kwa sababu ya Madeni, yani Serikali yenu imeshindwa kulipa parking fees, fuel na cost zingine zinazohusika kuendesha Ndege 😂😂😂 eti mkijarubu kushindana na Air Rwanda....hamuwezi wanyarwanda sembuse Air Uganda, KQ hata msiote...bure kabisa.
Una njaa dada ile ndege haitembezi mahindi naona mate yanakudondoka
 
Back
Top Bottom