Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania

Maharamia na Magaidi yanatanua kwenye maVX ya kodi za Watanzania.

Msafara zmagati 200 na helicopter juu yake. Bila hivyo hakuna amani mioyoni.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Wauaji ni wagonjwa wa akili. Huwa hawafikirii kama wenzao ni watu na wanastahiki haki na utu pamoja na kuishi. Ndo maana wanahubiri 'amani' huku wakijitenga na haki. Shame on them! May they perish!
 
pwagu na pwaguzi manapeana moyo kilofa sana aise dah:pedroP:
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
unadhani hizo poroja ndio turufu na haki ya kuharibu miundombinu ya umma na binafsi gentleman?

jitie kimbelembele next time uone, alaa:BillyApprove:
 
Tukiisha kula pilau tutakutembelea kwako kukulaa pilau

Gentleman kiazi wee pimbi maddog pumpkin head chawa pro maxi
ralax gentleman,
ikiwa huna hoja huna haja ya kujiexpose kwa mihemko nonsense kwamba wewe ni nyumbu:pedroP:
 
Wakati huo umewasha VPN ili uingie kuandika upumbavu wako JF, sijui hawa mods nao wajinga hawaoni mashudu toka kwa huyu ngumbaru?

Wewe, sa100 na serikali yenu haramu ni kama hamnazo aisee mmefungia jf, x na tiktok(?) ila mpo busy kutoa habari zenu kupitia mitandao mliyoifungia wemyewe? Are you guys okay upstairs?
vpn ya nini gentleman?
ama kwa hakika ukizoea vya kunyonya, vya kuchinja huwezi:pedroP:

malofa bana,
eti vpn dah:pedroP:
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania

Mimi napenda CCM
 
Ni kweli. Ila kabla hujawapa hayo majina ambayo huwa wanapewa watu wa dini fulani na kulalamika, ututhibitishie kuwa ni magaidi. Kuita tu haitoshi zaidi ya kuonekana umbea na chuki binafsi au uchawa vya kawaida kwa watu wazembe wa kutafiti na kufikiri.
gentleman,
zingatia hoja na mawaidha ndani ya hoja yenyewe, itakusaidia sana.

usije kuthubutu kujihusisha na magenge ya maharamia, magaidi au mamaluki utaishia pabaya sana on the spot.
be careful:NoGodNo:
 
Kwa kuwa una asali mdomoni huwezi kuelewa maumivi ya watu wengine. Zamu yenu yaja.
acha porojo gentleman,
asali ni ya nyuki na zawadi ya magaidi ni kua neutralized to maana hakuna zawadi nyingine zaidi ya hiyo.

jitie kimbelembele kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ila nawe upate zawadi yako mara moja:NoGodNo:
 
Sawa. Ngoja tutulie wasombe kwanza. Wakimaliza hayo mashimo tutafugia samaki.

Ila mercury itaua samaki wote tutakaofuga, kisha tutabaki na maji yenye sumu tu.
hakuna haja ya porojo na story za pata potea kwenye hoja nzito ya maana na mahususi kama iliyoko mezani gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom