Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

unadhani hizo poroja ndio turufu na haki ya kuharibu miundombinu ya umma na binafsi gentleman?

jitie kimbelembele next time uone, alaa:BillyApprove:
Bado tena unajisifu na kuja na kejeli za kiburi kama unagurantee ya kuishi milele,walikuwepo wakina Hitler,walikuwepo wakina Napoléon Bonaparte,walikuwepo wakina sterling, walikuwepo wakina Gadafi,walikuwepo wakina Assad, wote walikuwa wanamajeshi bora na yenye nguvu kuliko nyinyi,je leo wapo wapi,na nyinyi ni jambo la wakati mtakuwa uchi!!!
 
sina haja ya kujisifu gentleman,
but daima niko huru kueleza ukweli bayana ili hatimae kuwasaidia kisaikolojia vijana na kuwanusuru malofa mnaobebwa ufala wa kifikra na magenge ya kigaidi na matokeo yake mnaishia kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zenu, huku waliowatuma kwa faida zao na familia zao wakiwazawadia zawadi ya kuwapost mitandaoni pekee.

huo si ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman? :pedroP:
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
Kuandamana siyo Ugaidi bali ni takwa la kikatiba katika nchi zote zilizopo katika misingi ya kidemokrasia, either useme unaikosoa serikali kinafiki kwa kusema nchi hii haindeshwi kwa misingi ya katiba iliyopo!
 
Gentleman,
soma vizuri uelewe hoja na mawaidha muhimu sana ambayo naamini ni msaada muhimu sana kwenye kuongeza ufahamu na uelewa juu ya masuala ya maandamno Tanzania na dunia ni kote.

ukishupaza shingo basi jitie kiherehere kwa kuandamana na magaidi bila kibali na ukugusa miundombinu ya umma na binafsi na utapatiwa zawadi yako palepale :pulpTRAVOLTA:
 
Wakati unaandika huu Upumbavu umewasha VPN,bila VPN Huwezi kuingia JF Wala kutumia JF!

Watanzania wenye akili timamu wanaposema wanaandamana nia ja dhumuni ni kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya Vyombo vya habari!,wewe Kwa akili yako fupi unadhani watu wakiandamana watakupiga Pumbu mbele ya kadamnasi,waandamanaji hawana Nia na mataqo yako makubwa!,wao wanataka Haki!

Ukitaka kujua wewe ni ZEZETA ila hujijui ni pale ambapo hapa JF unaingia Kwa kutumia VPN na bado unamsifia aliyefanya ukose Uhuru wa maoni!

Baba yako angetumia Kondomu ni hakika tusingekuwa na ZEZETA hapa JF leo
Majanga kama hayo sio ya kutupotezea muda kwa kuyajibu.
 
sina haja ya kujisifu gentleman,
but daima niko huru kueleza ukweli bayana ili hatimae kuwasaidia kisaikolojia vijana na kuwanusuru malofa mnaobebwa ufala wa kifikra na magenge ya kigaidi na matokeo yake mnaishia kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zenu, huku waliowatuma kwa faida zao na familia zao wakiwazawadia zawadi ya kuwapost mitandaoni pekee.

huo si ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman? :pedroP:
Hamna ukweli zaidi ya majigambo ya kulewa damu za watu,maana mtu akikaribia anguko lake kuu , kiburi,majigambo na kujitweza kama yeye ni Mungu na akuna atakayeweza shindana naye
 
Kweli,tlaatlah na na Lukas mwashambwa ni vipofu wa kiroho,mwili na Akili!Hawawezi kubadilika!
 
shupaza shingo na ulete kiherehere chako kwenye kuharibu mali ya umma na binafsi ili uzawadi ubaridi kwa amani :NoGodNo:
 
Bado tena unajisifu na kuja na kejeli za kiburi kama unagurantee ya kuishi milele,walikuwepo wakina Hitler,walikuwepo wakina Napoléon Bonaparte,walikuwepo wakina sterling, walikuwepo wakina Gadafi,walikuwepo wakina Assad, wote walikuwa wanamajeshi bora na yenye nguvu kuliko nyinyi,je leo wapo wapi,na nyinyi ni jambo la wakati mtakuwa uchi!!!
Anajifanya Mzee wa propaganda,Historia itamuhukimu vibaya kwa ujinga wake!
 
Kweli,tlaatlah na na Lukas mwashambwa ni vipofu wa kiroho,mwili na Akili!Hawawezi kubadilika!
utakatifu wa kinafiki kama ulio nao ni ushirikina gentleman,

jitie kiherehere kwenye kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ili hatimae upewe zawadi ya ubaridi kwa amani :NoGodNo:
 
Kuandamana siyo Ugaidi bali ni takwa la kikatiba katika nchi zote zilizopo katika misingi ya kidemokrasia, either useme unaikosoa serikali kinafiki kwa kusema nchi hii haindeshwi kwa misingi ya katiba iliyopo!
uje na hiyo katiba wakati unaharibu na kuchoma miundombinu ili uelekezwe sheria ilivyo na kupatiwa zawadi yako ya ubaridi kwa amani:NoGodNo:
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
Ni kweli uliowataja kwenye heading hawataandamana ila Wananchi wataandamana sbb ni haki yao kikatiba
 
ni vizuri ukaja na hiyo katiba kabisa kwenye hayo maandamano ya kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kupora mali na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi,
zawadi ya ubaridi itatolewa papohapo :NoGodNo:
 
Kibaraka ni nani ?!!!!

Wakati unaandika huu Upumbavu umewasha VPN,bila VPN Huwezi kuingia JF Wala kutumia JF!

Watanzania wenye akili timamu wanaposema wanaandamana nia ja dhumuni ni kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya Vyombo vya habari!,wewe Kwa akili yako fupi unadhani watu wakiandamana watakupiga Pumbu mbele ya kadamnasi,waandamanaji hawana Nia na mataqo yako makubwa!,wao wanataka Haki!

Ukitaka kujua wewe ni ZEZETA ila hujijui ni pale ambapo hapa JF unaingia Kwa kutumia VPN na bado unamsifia aliyefanya ukose Uhuru wa maoni!

Baba yako angetumia Kondomu ni hakika tusingekuwa na ZEZETA hapa JF leo
Halafu anatumia free VPN ya PROTON ile ile aliopewa na Habil. Ahaaaaa CCM bana
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
SISI VIJANA AMBAO TUMEONA YALIYOTOKEA 29/10 TUNASEMA HATUWEZI KUANDAMANA NA KUCHOMA NCHI
 
ni vizuri ukaja na hiyo katiba kabisa kwenye hayo maandamano ya kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kupora mali na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi,
zawadi ya ubaridi itatolewa papohapo :NoGodNo:
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Back
Top Bottom