Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania


Maharamia na Magaidi yanatanua kwenye maVX ya kodi za Watanzania.

Msafara zmagati 200 na helicopter juu yake. Bila hivyo hakuna amani mioyoni.
 

Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Wauaji ni wagonjwa wa akili. Huwa hawafikirii kama wenzao ni watu na wanastahiki haki na utu pamoja na kuishi. Ndo maana wanahubiri 'amani' huku wakijitenga na haki. Shame on them! May they perish!
 
Wauaji ni wagonjwa wa akili. Huwa hawafikirii kama wenzao ni watu na wanastahiki haki na utu pamoja na kuishi. Ndo maana wanahubiri 'amani' huku wakijitenga na haki. Shame on them! May they perish!
pwagu na pwaguzi manapeana moyo kilofa sana aise dah
 
unadhani hizo poroja ndio turufu na haki ya kuharibu miundombinu ya umma na binafsi gentleman?

jitie kimbelembele next time uone, alaa
 
Tukiisha kula pilau tutakutembelea kwako kukulaa pilau

Gentleman kiazi wee pimbi maddog pumpkin head chawa pro maxi
ralax gentleman,
ikiwa huna hoja huna haja ya kujiexpose kwa mihemko nonsense kwamba wewe ni nyumbu
 
vpn ya nini gentleman?
ama kwa hakika ukizoea vya kunyonya, vya kuchinja huwezi

malofa bana,
eti vpn dah
 


Mimi napenda CCM
 
gentleman,
zingatia hoja na mawaidha ndani ya hoja yenyewe, itakusaidia sana.

usije kuthubutu kujihusisha na magenge ya maharamia, magaidi au mamaluki utaishia pabaya sana on the spot.
be careful
 
Kwa kuwa una asali mdomoni huwezi kuelewa maumivi ya watu wengine. Zamu yenu yaja.
acha porojo gentleman,
asali ni ya nyuki na zawadi ya magaidi ni kua neutralized to maana hakuna zawadi nyingine zaidi ya hiyo.

jitie kimbelembele kuharibu miundombinu ya umma au binafsi ila nawe upate zawadi yako mara moja
 
Sawa. Ngoja tutulie wasombe kwanza. Wakimaliza hayo mashimo tutafugia samaki.

Ila mercury itaua samaki wote tutakaofuga, kisha tutabaki na maji yenye sumu tu.
hakuna haja ya porojo na story za pata potea kwenye hoja nzito ya maana na mahususi kama iliyoko mezani gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…