Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Bado tena unajisifu na kuja na kejeli za kiburi kama unagurantee ya kuishi milele,walikuwepo wakina Hitler,walikuwepo wakina Napoléon Bonaparte,walikuwepo wakina sterling, walikuwepo wakina Gadafi,walikuwepo wakina Assad, wote walikuwa wanamajeshi bora na yenye nguvu kuliko nyinyi,je leo wapo wapi,na nyinyi ni jambo la wakati mtakuwa uchi!!!unadhani hizo poroja ndio turufu na haki ya kuharibu miundombinu ya umma na binafsi gentleman?
jitie kimbelembele next time uone, alaa
sina haja ya kujisifu gentleman,Bado tena unajisifu na kuja na kejeli za kiburi kama unagurantee ya kuishi milele,walikuwepo wakina Hitler,walikuwepo wakina Napoléon Bonaparte,walikuwepo wakina sterling, walikuwepo wakina Gadafi,walikuwepo wakina Assad, wote walikuwa wanamajeshi bora na yenye nguvu kuliko nyinyi,je leo wapo wapi,na nyinyi ni jambo la wakati mtakuwa uchi!!!
Kuandamana siyo Ugaidi bali ni takwa la kikatiba katika nchi zote zilizopo katika misingi ya kidemokrasia, either useme unaikosoa serikali kinafiki kwa kusema nchi hii haindeshwi kwa misingi ya katiba iliyopo!Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.
Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.
Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.
Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.
Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Kuandamana siyo Ugaidi bali ni takwa la kikatiba katika nchi zote zilizopo katika misingi ya kidemokrasia, either useme unaikosoa serikali kinafiki kwa kusema nchi hii haindeshwi kwa misingi ya katiba iliyopo!
Toa upumbavu wako hapa!!vpn ya nini gentleman?
ama kwa hakika ukizoea vya kunyonya, vya kuchinja huwezi
malofa bana,
eti vpn dah
Majanga kama hayo sio ya kutupotezea muda kwa kuyajibu.Wakati unaandika huu Upumbavu umewasha VPN,bila VPN Huwezi kuingia JF Wala kutumia JF!
Watanzania wenye akili timamu wanaposema wanaandamana nia ja dhumuni ni kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya Vyombo vya habari!,wewe Kwa akili yako fupi unadhani watu wakiandamana watakupiga Pumbu mbele ya kadamnasi,waandamanaji hawana Nia na mataqo yako makubwa!,wao wanataka Haki!
Ukitaka kujua wewe ni ZEZETA ila hujijui ni pale ambapo hapa JF unaingia Kwa kutumia VPN na bado unamsifia aliyefanya ukose Uhuru wa maoni!
Baba yako angetumia Kondomu ni hakika tusingekuwa na ZEZETA hapa JF leo
Hamna ukweli zaidi ya majigambo ya kulewa damu za watu,maana mtu akikaribia anguko lake kuu , kiburi,majigambo na kujitweza kama yeye ni Mungu na akuna atakayeweza shindana nayesina haja ya kujisifu gentleman,
but daima niko huru kueleza ukweli bayana ili hatimae kuwasaidia kisaikolojia vijana na kuwanusuru malofa mnaobebwa ufala wa kifikra na magenge ya kigaidi na matokeo yake mnaishia kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zenu, huku waliowatuma kwa faida zao na familia zao wakiwazawadia zawadi ya kuwapost mitandaoni pekee.
huo si ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman?
shupaza shingo na ulete kiherehere chako kwenye kuharibu mali ya umma na binafsi ili uzawadi ubaridi kwa amaniHamna ukweli zaidi ya majigambo ya kulewa damu za watu,maana mtu akikaribia anguko lake kuu , kiburi,majigambo na kujitweza kama yeye ni Mungu na akuna atakayeweza shindana naye
Anajifanya Mzee wa propaganda,Historia itamuhukimu vibaya kwa ujinga wake!Bado tena unajisifu na kuja na kejeli za kiburi kama unagurantee ya kuishi milele,walikuwepo wakina Hitler,walikuwepo wakina Napoléon Bonaparte,walikuwepo wakina sterling, walikuwepo wakina Gadafi,walikuwepo wakina Assad, wote walikuwa wanamajeshi bora na yenye nguvu kuliko nyinyi,je leo wapo wapi,na nyinyi ni jambo la wakati mtakuwa uchi!!!
utakatifu wa kinafiki kama ulio nao ni ushirikina gentleman,Kweli,tlaatlah na na Lukas mwashambwa ni vipofu wa kiroho,mwili na Akili!Hawawezi kubadilika!
uje na hiyo katiba wakati unaharibu na kuchoma miundombinu ili uelekezwe sheria ilivyo na kupatiwa zawadi yako ya ubaridi kwa amaniKuandamana siyo Ugaidi bali ni takwa la kikatiba katika nchi zote zilizopo katika misingi ya kidemokrasia, either useme unaikosoa serikali kinafiki kwa kusema nchi hii haindeshwi kwa misingi ya katiba iliyopo!
Ni kweli uliowataja kwenye heading hawataandamana ila Wananchi wataandamana sbb ni haki yao kikatibaNdugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.
Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.
Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.
Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.
Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.
Mungu Ibariki Tanzania
ni vizuri ukaja na hiyo katiba kabisa kwenye hayo maandamano ya kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kupora mali na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi,Ni kweli uliowataja kwenye heading hawataandamana ila Wananchi wataandamana sbb ni haki yao kikatiba
Halafu anatumia free VPN ya PROTON ile ile aliopewa na Habil. Ahaaaaa CCM banaWakati unaandika huu Upumbavu umewasha VPN,bila VPN Huwezi kuingia JF Wala kutumia JF!
Watanzania wenye akili timamu wanaposema wanaandamana nia ja dhumuni ni kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya Vyombo vya habari!,wewe Kwa akili yako fupi unadhani watu wakiandamana watakupiga Pumbu mbele ya kadamnasi,waandamanaji hawana Nia na mataqo yako makubwa!,wao wanataka Haki!
Ukitaka kujua wewe ni ZEZETA ila hujijui ni pale ambapo hapa JF unaingia Kwa kutumia VPN na bado unamsifia aliyefanya ukose Uhuru wa maoni!
Baba yako angetumia Kondomu ni hakika tusingekuwa na ZEZETA hapa JF leo
SISI VIJANA AMBAO TUMEONA YALIYOTOKEA 29/10 TUNASEMA HATUWEZI KUANDAMANA NA KUCHOMA NCHINdugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.
Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.
Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.
Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.
Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.
Mungu Ibariki Tanzania
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.ni vizuri ukaja na hiyo katiba kabisa kwenye hayo maandamano ya kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kupora mali na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi,
zawadi ya ubaridi itatolewa papohapo