Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

gentleman,
zingatia hoja na mawaidha ndani ya hoja yenyewe, itakusaidia sana.

usije kuthubutu kujihusisha na magenge ya maharamia, magaidi au mamaluki utaishia pabaya sana on the spot.
be careful
Usinitishe. Kwani, wewe utaishia pazuri kwa uchawa?
 
Umeandika upulusi

Tutakapoanza kuwindana kama simbilisi uje kulia humu.

Maandamano ni haki hayahitaji kibali.

Tanganyika ina watu wengi wapu$&&u mxxxyok
 
Utashangaa Ma CHADEMA yanapinga na kuanza kutukana matusi . Halafu kesho yakipigwa yanaanza kulalamika na kupiga mayowe.
 
Umeandika upulusi

Tutakapoanza kuwindana kama simbilisi uje kulia humu.

Maandamano ni haki hayahitaji kibali.

Tanganyika ina watu wengi wapu$&&u mxxxyok
labda ukawide sungura

Amani na utulivu wa Tanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile ndugu mdau,

hakuna nafasi kwa maharamia, magaidi au mamluki wa vibaraka kudai haki au uhuru wa kuharibu miundombinu ya umma na binafsi. hiyo nonsense haiwezi kufanyika Tanzania.

ukiwa miongoni mwao shupaza shingo ufurahishwe na zawadi ya ubaridi
 
Usinitishe. Kwani, wewe utaishia pazuri kwa uchawa?
Gentleman,
sikutishi na wala sina haja ya kumtisha mdau yeyote wa ndani au nje ya JF,

daima hua nashauri mambo ya msingi kwa kusema ukweli mtupu, na hiyo ndio asili yangu
 
Utashangaa Ma CHADEMA yanapinga na kuanza kutukana matusi . Halafu kesho yakipigwa yanaanza kulalamika na kupiga mayowe.
ni muhimu wakazingatia ushauri huu muhimu na wa busara sana kwa manufaa yao binafsi na familia zao.

kushupaza shingo kwao kutawagharimu mambo mengi muhimu kibinafsi
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
zingatia hoja gentleman,
huna haja ya kuhamisha mjadala kwa porojo za patapotea
 
SISI VIJANA AMBAO TUMEONA YALIYOTOKEA 29/10 TUNASEMA HATUWEZI KUANDAMANA NA KUCHOMA NCHI
ni uamuzi wa busara na wamaana sana huo,
ni vema vijana kutumia maarifa, ujuzi na elimu walizonazo katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo.

Kujihusisha na mambo ya fujo na uharibifu ni kujirudisha nyuma wenyewe, ni kujitafutia kuumizwa na ulemavu wa kudumu au kupoteza maisha for nothing.

Binafsi nawapongeza sana vijana wote wa Tanzania wenye maono na mtazamo wa aina hiyo.
God bless Tz gen z.
 
zingatia hoja gentleman,
huna haja ya kuhamisha mjadala kwa porojo za patapotea
Huna aibu mmepola uchaguzi,mmejisimika Madarakani kwa mtutu wa bunduki tena kwa mauaji ya halaiki zaidi ya watu elfu 23 plus,wameuawa kama kuku waliokufa na kideli,hamkutosheka mkawazika sio kuwazika mliwafukia kama mizoga ya ng'ombe iliyokufa na kimeta,hamkutosheka wale mlio wateka mkawamiminia risasi kichwa to kichwa kama unajifunzia shabaha,hamkuridhika mkawanyima watu kuzika wapendwa wao kwa heshima,na bado mnateka,mnaua,mnafira,mnalawiti na mnabaka,je hicho kiburi kilichokujaa wewe chawa wao,hujui nawewe unaweza kufa tu hata kwa kuumwa na Mbu,Mungu ni fundi yetu ni macho tu,ndiyo ule msemo unakuja auwaye kwa upanga uawa kwa Upanga.
 
uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki ulifanyika Tanzania mnamo oct.29,2025, na ulifanyika kwa kwa utulivu mkubwa sana na kwa mujibu wa katiba na sio kwa mujibu wa mbambamba za mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi

Uchaguzi mkuu mwingine huru, wa haki na wa wazi utafanyika oct.2030.
Hivi sasa serikali sikivu ya CCM chini ya kipenzi cha waTanzania DR.SAMIA SULUHU HASSAN iko kazini, katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi wote wa Tanzania.

Porojo na mbambamba za maharamia na magaidi hazitaitaziza serikali sikivu ya ccm kuwatumikia waTanzania wote.

Nakusihi,
usithubutu kujihusisha na magenge ya kigaidi popote tanzania kuepuka kua baridi on the spot
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Gentleman,
hizo porojo nonsense haziwezi kuizuia serikali sikivu ya ccm kuchapa kazi ya kuwatumikia wananchi, kuwaletea maendeleo na kulinda amani kwa nguvu na gharama zote.

kawaambie na wenzako kuhusu hilo
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…