Ndio maana nimekuwekea live link kuondoa ubishi. Lini mtaacha utoto?Ndugu umevisoma hivyo vifungu au umetafsiri hivyo vifungu
Tatizo lenu UKAWA kama wewe ni mmoja wao, mnafuta mkumbo, huku wewe na akili yako unaweza kuthibitisha maneno yanayo semwa na viongozi wenu kama ni Uongo au ni maneno ya ulaghai.CCM mna shida ya uwelewa. Mmekula maharage ya wapi sijui
Hivi kama chama tawala nacho kikiwahamasisha wapiga kura wao nao wakae umbali wa mita mia mbili ili kulinda kura zao itakuweje? Nyinyi Ukawa acheni uhuni wenu. Ni dhahiri kwamba baada ya kuona hamtashinda huu uchaguzi sasa mnatafuta njia za kuvunja amani. Hebu jaribuni kufanya hivyo na tuone.
Ukifanya fujo utakua umevunja sheria za nchi ambazo Polisi ambao ndio wanao hakikisha na au enforce USALAMA WA RAIA watakushughulikia na kukuweka mahali pema Keko. Don't worry, wewe anzisha fujo tu na subiri uone mkono wa Serikali utakavyo kufunza adabu huku Lowassa akiwa amejituliza nyumbani kwake.kama fujo litaanzia hapo hakuna kurudi nyuma na likianzia hapo tunasimamia ikulu kuwanyofoa CCM.
Umekosea, kwasababu hakuna sheria inayo kuruhusu wewe UKAWA kukaa mita 100. Jaribu uone nini kitakutoke siku hiyo.Kwanini hawawahamasishi? Ni rahisi. Hawana wananchi wanaowatii zaidi ya dola. Meza hiyo kwanza
I can translate Case Laws, I don't need help like you Ukawanite. Wewe msubiri Tundu Lisu aje kukudanganya ili uswekwe Keko.Mtafute mtu akufundishe sheria inavyoonekana ni mshabiki
Hakuna amani itakayo vunjika labda usema UKAWA mtavunja amani. Be more specific.Amani mtaivunja nyie ccm, usiseme ukawa ati wanavunja amani
Hivi kama chama tawala nacho kikiwahamasisha wapiga kura wao nao wakae umbali wa mita mia mbili ili kulinda kura zao itakuweje? Nyinyi Ukawa acheni uhuni wenu. Ni dhahiri kwamba baada ya kuona hamtashinda huu uchaguzi sasa mnatafuta njia za kuvunja amani. Hebu jaribuni kufanya hivyo na tuone.
Ndiyo kuna Sheria inayozuia watu kukusanyika bila ya sababu, Serikali ndiyo yenye jukumu la kuamua ni ipi sababu inayoruhusiwa kukusanyika na wapi ni sawa kukusanyika na wapi siyo sawa, kama yalivyo mambo mengi tu!
Baada ya matokeo kubandikwa watu wanaruhusiwa kwenda kuyasoma kinachokatazwa ni kukusanyika kukaa na kusubiri!
Mwisho hii ni Amri kutoka kwa Raisi wa JMTZ ambayo kwa kawaida haipaswi kupingwa na binadamu yoyote yule ndani ya TanZania na wewe unapaswa kutii tu bila shurti, ni rahisi kihivyo tu!
Hebu angalia hao Ukawa waliotakiwa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi wanavyofanya sasa hivi. Unawaamini kweli hawa jamaa, wakati wao wenyewe ndio vinara wa kuvunja katiba zao?Mkuu haya yote dawa ilikua katiba mpya iliyotaka tume huru ya uchaguzi ipatikane kabla ya uchaguzi huu. Baada ya kuiona hatari hiyo waliamua kuikataa ile rasimu na kuitengeneza katiba pendekezwa, hatima yake hiyo pendekezwa mimi na wewe hatujui. CCM ina wenyewe mkuu.