Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Fanya kaz bro! Achana na ishu za kuchunguzana. Unapoteza time. Fainal uzehen.
 
Unasema Ana Kazi Zuri Tu Then Mda Huo Huo Unasema Haujui Kazi Yake
 
Anauza mirungi ya muleba kithii-kenya muleba ardhi nono sana na haijaharibiwa kwa sababu sheria zetu haziruhusu miraa😂😂😂 🎄🎄🎄
 
Nafikiri mtoa mada anazinguliwa na fake life la insta....
Leo kavaa hivi...kesho anakula hoteli hii..

Hajui kama wanatumika kama mabango ya biashara.
Ni kweli kule intragram wana tanganza biashara ya nguo n.k
 
Mkuu wabongo wachukulie tu, yani ukikodi nyumba kwao tafsiri yao ndio huna kitu. Hafahamu kama ndio maisha ya kawaida kwenye ulimwengu.
Wanadhani kujenga ndiyo mafanikio. Watu hujenga ili kuindokana na kero za wapangaji au wenye nyumba wala hawajengi kama hatua ya maendeleo kiuchumi.
Ukishakuwa na lifetime projects na kipato cha uhakika huna hofu ya kukimbilia kujenga hasa mijini. Sehemu ya kujenga ni vijijini kwenye machimbuko yetu, mijini watu hupanga tu. Mazingira yakibadirika kuwa tofauti na utakavyo unahama, au vipaombele vyako vikibadirika unafanya kuhama na kutafuta kwingine patakapo kufaa au kama unajenga basi unajenga kwa sababu za kibiashara, hivyo unaweza ukajenga nyumba zako na bado ukaendelea kuishi kwenye nyumba ya kupanga.
 
ivi watanzania umbea n kipaji au urithi, yaana we na pumbu zako mbili linakusumbua akil life LA MTU,....Sasa wew ndo mume cjui mkeo atakuaje
au ndo kopo na mfuniko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…