Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Irene katokea katika Familia ya kishua(mboga saba) toka umfahamu ulishawahi kuona kafulia yule dada kwanza ana bahati ya pesa.
Sio kweli dingi kastaafu juzi serikalini na hawawezi kuwa na hela nyingi kiasi hiko
 
Kustaafu sio kigezo mkuu ukweli ni kwamba Irene familia yake mboga saba, pili kama una mfatilia utagundua yule dada ana bahati au nyota ya pesa hajawahi kufulia,
anajua kudanga vizuri.
Ungeeelzea vizuri hizo hela anapata wapi sio kusema ana bahati na pesa .

Kama kweli unamjua utupe vyanzo vyake
Sahili vya mapato ukitoa hio pub na uigizaji
 
Ana danga ulikuwa unatakaje labla?
 
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.

Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini nimeambulia patupu.

Si mimi tu watu wengi sana tumekuws tukijiuliza mara kwa mara hivi huyu Mama Krish anafanya kazi gani?? Mbona kila siku mambo yake yanazidi kumnyookea na anazidi kutapanya pesa hovyo , imefika pahala hata shabiki akimuimba pesa kiutani utani haoni shida kumtumia laki 5 ,sita kawaida sana yani.

Kuna kipindi alikuwa na mchezo wa kuuliza viswali vidogo vidogo ukipatia anakualika mkapate chakula cha pamoja na hakuachi hivi hivi lazima akupe chochote kitu.Sasa
je swali linabaki pale pale huyu Irene anakazi gani mbona anazidi kutoboa kila kukicha???

Kuna kipindi nilidhani pub yake ndio kila kitu lakini nimekuja kugundua hategemei pub kuendesha maisha yake bali ana kazi nyingine nzuri tu, lakini najiuliza tena mbona kila muda yupo mtandaoni tu hiyo kazi anafanya muda gani?? Daaah, mnaojua mtujuze tafadhari.

View attachment 976305
Sasa kwa tak* lile unatarajia Uwoya alale njaa shehe?
 
Irene katokea katika Familia ya kishua(mboga saba) toka umfahamu ulishawahi kuona kafulia yule dada kwanza ana bahati ya pesa.
familia ya kishua then waishi kwenye nyumba ya kupanga pale kimandolu arusha?ebu kuwa serious
 
Ila cha kushangaza wakipatwa na ugonjwa wanakimbilia kwenye media kuomba pesa ili waende India..
 
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.

Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini nimeambulia patupu.

Si mimi tu watu wengi sana tumekuws tukijiuliza mara kwa mara hivi huyu Mama Krish anafanya kazi gani?? Mbona kila siku mambo yake yanazidi kumnyookea na anazidi kutapanya pesa hovyo , imefika pahala hata shabiki akimuimba pesa kiutani utani haoni shida kumtumia laki 5 ,sita kawaida sana yani.

Kuna kipindi alikuwa na mchezo wa kuuliza viswali vidogo vidogo ukipatia anakualika mkapate chakula cha pamoja na hakuachi hivi hivi lazima akupe chochote kitu.Sasa
je swali linabaki pale pale huyu Irene anakazi gani mbona anazidi kutoboa kila kukicha???

Kuna kipindi nilidhani pub yake ndio kila kitu lakini nimekuja kugundua hategemei pub kuendesha maisha yake bali ana kazi nyingine nzuri tu, lakini najiuliza tena mbona kila muda yupo mtandaoni tu hiyo kazi anafanya muda gani?? Daaah, mnaojua mtujuze tafadhari.

View attachment 976305
Very low low loww person

Loma.na Maisha yako

Huo muda WA kuchunguza watu, ungeutumia kutafuta Maisha yako
 
Back
Top Bottom