Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli dingi kastaafu juzi serikalini na hawawezi kuwa na hela nyingi kiasi hikoIrene katokea katika Familia ya kishua(mboga saba) toka umfahamu ulishawahi kuona kafulia yule dada kwanza ana bahati ya pesa.
Kustaafu sio kigezo mkuu ukweli ni kwamba Irene familia yake mboga saba, pili kama una mfatilia utagundua yule dada ana bahati au nyota ya pesa hajawahi kufulia,Sio kweli dingi kastaafu juzi serikalini na hawawezi kuwa na hela nyingi kiasi hiko
Imebid nicheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuleta mambo ya kizamani.
Ungeeelzea vizuri hizo hela anapata wapi sio kusema ana bahati na pesa .Kustaafu sio kigezo mkuu ukweli ni kwamba Irene familia yake mboga saba, pili kama una mfatilia utagundua yule dada ana bahati au nyota ya pesa hajawahi kufulia,
anajua kudanga vizuri.
Ana danga ulikuwa unatakaje labla?Ungeeelzea vizuri hizo hela anapata wapi sio kusema ana bahati na pesa .
Kama kweli unamjua utupe vyanzo vyake
Sahili vya mapato ukitoa hio pub na uigizaji
Sasa kwa tak* lile unatarajia Uwoya alale njaa shehe?Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.
Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini nimeambulia patupu.
Si mimi tu watu wengi sana tumekuws tukijiuliza mara kwa mara hivi huyu Mama Krish anafanya kazi gani?? Mbona kila siku mambo yake yanazidi kumnyookea na anazidi kutapanya pesa hovyo , imefika pahala hata shabiki akimuimba pesa kiutani utani haoni shida kumtumia laki 5 ,sita kawaida sana yani.
Kuna kipindi alikuwa na mchezo wa kuuliza viswali vidogo vidogo ukipatia anakualika mkapate chakula cha pamoja na hakuachi hivi hivi lazima akupe chochote kitu.Sasa
je swali linabaki pale pale huyu Irene anakazi gani mbona anazidi kutoboa kila kukicha???
Kuna kipindi nilidhani pub yake ndio kila kitu lakini nimekuja kugundua hategemei pub kuendesha maisha yake bali ana kazi nyingine nzuri tu, lakini najiuliza tena mbona kila muda yupo mtandaoni tu hiyo kazi anafanya muda gani?? Daaah, mnaojua mtujuze tafadhari.
View attachment 976305
familia ya kishua then waishi kwenye nyumba ya kupanga pale kimandolu arusha?ebu kuwa seriousIrene katokea katika Familia ya kishua(mboga saba) toka umfahamu ulishawahi kuona kafulia yule dada kwanza ana bahati ya pesa.
Very low low loww personKiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.