Hakuna kinachotuumiza kichwa kama kazi anayoifanya Irene Uwoya

Sijaona life expensive analoishi Irene,mtu mwenye fedha hawezi kutembelea magari mabovu na kuishi kwenye majumba ya kupanga!! Kama Irene unamuona ana hela basi utakuwa unaishi maisha mabobu sana wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…