Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Kikubwa ni kua kila mtu atakufa na ataubeba msalaba wake.
MaCCM msizuie watu kusema mabaya ya Magufuli yalio mengi, kumpiga Lissu risasi, kumnyima pesa za matibabu na kumvua ubunge. MAUJI na kupotea kwa watu . Na makauli ya masimango.

Magufuli utajuana na Mungu wake huko aendako.
 
Mnamsifia mtu mwenyewe kafa kirahiiiisi, aliua watu akidhani mtu kufa ni mpaka amuue yeye akajua kwa kuwa yeye ni muuaji akajiwekea ulinzi ili asiguswe akajiaminisha kuishi milele kama Jiwe. Matokeo yake kamuapisha bashiru leo kesho kafa kiulainiiii.
 
.......
 
Dead and gone!
Hata Baada ya kufariki, bado Magufuli atawatesa saaana! Maana sasa hata kumuua hamuwezi tena shetwani nyie na matundu yenu!
 
Hebu tuambie mtu akipagawa na pepo kisha akaanguka chini na kugaagaa utasema anampenda shetani?

Nina mashaka na unyonge wako 😁
 
Magufuli ataendelea kutesa sana wezi makauzu kwa kuwa ataendelea kuishi kwenye mioyo ya watu ambako hamtaweza kumuua tena!👇
 
We ni fara Kama mafara wengne tu
 
Hata Hitler kuna waliompenda
We mpumbafu sana! Huyu anapendwa na zaidi ya 75% ya watz! Hawa wanalia kuliko hata walivyowalilia ndugu zao!
Kufa ww uone kitakachotokea!

Utakufa na roho yako mbaya
 
We mpumbafu sana! Huyu anapendwa na zaidi ya 75% ya watz! Hawa wanalia kuliko hata walivyowalilia ndugu zao!
Kufa ww uone kitakachotokea!

Acha uongo wewe! Unataka uniambie Nchi yetu ina mama ntilie, wamachinga, bodaboda na raia wa chattle wanaofikia asilimia hiyo 75%?

Maana hao ndiyo wanyonge tulio hubiriwa tangu mwaka 2015!
 
Ma huu ni ukweli mchungu, kama kila mmoja pahala pake akikidhi na kufuata sheria, tutafika mbali. Haiwezekani wamachinga washangilie wakati viongozi waliokosoea wakitumbuliwa lakini wao wakipata favor huku wakiwa wamevunja sheria. Maeneo kama Mbagala, Posta na Mwendokasi Kariakoo, yako holela sana, kimsingi utaratibu ufuatwe na kila mmoja awe mfanyakazi, machinga, Boda boda, sheria iko wazi kwa kila kundi kuifuata.
 
Kina mama wametandika nguo zao barabarani ni upendo wa hali ya juu.
lakini ukiingia JF unafikiri hapendwi ndo hawa wanashinda humu mtandaoni walimwaminisha Lissu atashinda,alichokutana nacho kwa wapiga kura waliowengi ambao hawamo JF anaweweseka mpaka kesho.
 
Mungu hakukosea alipoumba kichwa changu nipo sawa kabisa , ila kwa wewe kutuaminisha kuwa wanyonge na wazalendo wamlilia marehemu Jiwe upuuzi mtupu huo, hata wasukuma hawalii bali wanashangilia kwa style ya kujitupa chini sembuse na hao chinga wa Ilala

Bwashee tuondolee ujinga hapa
 
Acha uongo wewe! Unataka uniambie Nchi yetu ina mama ntilie, wamachinga, bodaboda na raia wa chattle wanaofikia asilimia hiyo 75%?

Maana hao ndiyo wanyonge tulio hubiriwa tangu mwaka 2015!
Siyo wanyonge tu, hata mimi nisiyemnyonge siachi kufuta machozi na tupo wengi sana tuliohuzinishwa kwa kuondokewa na mtu aliyekuwa anarudisha tabasamu kwa wanyonge na kuwezesha tuendeshe magari yetu kwenye barabara zisizo na mashimo! Tukifuata huduma maofisini hatupotezewi muda!
Tukikaa home ama ofisini umeme haukatikikatiki! Nk. Hivyo Magu katugusa middle na high class pia!
 
Jicheki humo ndani 6a fuvu lako kama mna neurons au uporoto!
Jicheki humo ndani ya fuvu lako kama kuna neva au uporoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…