Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Nenda nae bc mana yaonekana una mahabba kwel
Wewe ni baradhuli na fedhuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni baradhuli na fedhuli
Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Pole sana ndugu yangu kwa kumpoteza Kaka yako. Lakini ufarijike katika Bwana maana wauaji hawataikwepa hukumu wala laana mpaka kizazi cha 4.Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.
Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako
Shoga unatafuta bwana? Sins shida na makalio. Nakupa ignore inakutosha.
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.
Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako
Uliona msafara wa Lipumba siku anarudi ulaya kipindi kile?Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Kumbe ni polisi ndio waliua Sasa unamuhusisha vp hayat jpmNyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.
Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako
Kama alikuwa mwema au mbaya, kwa sasa hayo yapo mbele ya Muumba wake. Sisi tunamsindikiza tu aende kwa amani kule ambako kila mmoja wetu ataenda.Umeandika nini? Hakuwa Tanzania una maana gani? Mtu kama hakuwa mtu mwema watu wangemlilia leo?
Uwe unaona aibu basi!Uliona msafara wa Lipumba siku anarudi ulaya kipindi kile?
Uliona msafara wa Ruge akipokewa siku anapokewa akiwa marehemu toka south?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza swali gumu sana kwako?Unazo akili timamnu?
Mbona matusi na kejeli badala ya majibu?Unauliza jibu? Baradhuli na fedhuli mkubwa.
Mzee gani? Amka wewe kichaa kumekucha bado unaota saa hizi!Hata usiangaike na hao wanafiki wafata mkumbo, hawanaga Hoja zaidi kuvizia Lisu kasema nini nayeye atembee nalo ukiamua kuwapa jina zuri basi waite wajinga wafata mkumbo.
Na kwa sababu ujinga wao umeota mizizi miilini mwao basi hujiona wako wengi pale wanapoona welevu wamekaa kimya.
Usishangae wajinga hawa kumkubali kikwete nyakati hizi na kusahau matapishi yao.
Basi vile vile usishangae kesho kuwasikia wajinga hawa wakisema tulijua tu huyu mama hawezi kuyaenzi aliyoacha mzee.