Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

I don't have much to to talk but

Hopes ndio always zinaleta maumivu.

Ngoja nikale zangu bia.
Hope haikwepeki kua nayo kwa kila mwanadamu aliezaliwa na mwanamke gentleman.

hata wewe licha ya kua hope inakupa maumivu, but umekomaa tu na upo na hope kwamba iko siku ile pisi kali unayoipigia misele na kuifukuzia karibu huu mwaka wa tatu sasa, una hope one day ataingia kwenye 18 zako tu, ndio maana hukati tamaa, licha ya kua kakupiga vizinga sana na unatoa mkwanja tu bila kupiga mayowe.

lakini pia hata mhindi anakupiga vihela vyako daily, but bado una hope iko siku utambutua mamilioni n.k

hope ni nafsi iliyoganda kwenye utashi wa kila mwanadamu aliezaliwa na mwanamke gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom