Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

Kama itatokea tena trend kama hii ya kucheza fainali ya UEFA kila baada ya miaka 20 bas Arsenyo watacheza fainali nyingine 2046 ambapo Millennials wengi watakua na miaka 66 wakiwa wamebakiza miaka minne ya kuishi kwa mujibu wa life expectancy ya Mtanzania.
Dahh ngoja kwanza tukawafariji wenzetu ibadani
E070E296-A470-442B-9977-43C5E4068723.jpeg
 
Back
Top Bottom