Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ndiooulipo wew ni saa 4?
Ndiooulipo wew ni saa 4?
There's no fixed time for breastfeeding!Beer saa 4 hii?
Nilikuwa na mwanangu mmoja jana, nilimuhurumia aisee!Waliishia wapi hao wajinga!?
Maji baridi hayo anajiamini vipi.!
Baada ya penalty ya mwisho picha za satellite zilikua zinaonesha makundi ya watu yakisambaratika katika uelekeo tofauti tofauti.Waliishia wapi hao wajinga!
Hii mpya! Kunywa beer ndio mnaita Breastfeeding?🤭There's no fixed time for breastfeeding!
I don't have much to to talk but
Hopes ndio always zinaleta maumivu.
Ngoja nikale zangu bia.
Hope everything, expect everything and forget everythingI don't have much to to talk but
Hopes ndio always zinaleta maumivu.
Ngoja nikale zangu bia.
Hiki kina mamba hawezi winda chochote hapoMaji baridi hayo anajiamini vipi.!
Hakuna Mamba hapo
Sipendi kuweka miguu kwenye maji ya mito
unajiua huku unajiona mwenyewe!!!Don’t expect too much!
Ulifanya kosa la kimaadili kumuhurumia.Ungemcheka na kumfurusha akalaze fuvu lake.Hawakawii kuanza kulialia hao.Nilikuwa na mwanangu mmoja jana, nilimuhurumia aisee!
why?unajiua huku unajiona mwenyewe!!!
Alichekwa sana! Uzuri alipitiliza kupumzisha kichwa, maana sio kwa kupania kule!Ulifanya kosa la kimaadili kumuhurumia.Ungemcheka na kumfurusha akalaze fuvu lake.Haeakawii kuanza kulialia hao.
Afadhali.Tumeepushwa na air pollution!Baada ya penalty ya mwisho picha za satellite zilikua zinaonesha makundi ya watu yakisambaratika katika uelekeo tofauti tofauti.
Hilo liwe funzo kwa wahalifu wengine.Alichekwa sana! Uzuri alipitiliza kupumzisha kichwa, maana sio kwa kupania kule!
Expect everything if not today, tomorrow if not then day after kama haijotekea Kwa huyu basi Kwa yule au yule.Don’t expect too much!