Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama hiki

Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama hiki

How...siyo rahisi kuna jamaa yangu aliingiaga huo mtego, alichukua manzi pale Samaki Samaki, manzi akajifanya anaroom yake Survey, so wakakubaliana walipane 50k.
Basi wakatoka hapo kwenda room ya manzi. Kufika room wakaanza saula, kabla hawajaanza manzi akasema nipe laki yangu kabisa. Jamaa pombe ikakata, ameshangaa bei imepanda ghafla. Manzi akakomaa nipe laki yangu kabisa kabla hatujaanza. Jamaa hapo akaanza kubisha inakuaje amepandishiwa bei, manzi akasema ukiendelea kuleta ubishi nakupigia kelele za mwizi au umenibaka. Jamaa akaendelea kuleta utata, kumbe wale mamanzi wanapokuwa wanatoka kuna boda huwa wanawafuata kwa nyuma so haikupita daka tano tayari jamaa akawa ameshajaziwa nzi, demu akabadilisha mada kwamba jamaa amemla hataki kumlipa. Basi likawa zogo pale. Jamaa ili kuepusha dhahama maana majirani wa vyumba vingine walishaanza kutoka (huenda nao ni wapangaji kama yule manzi) na wale vijana wa boda walishaanza kumsachi ikabdi tu alipe ili aondoke pale. Basi ndo siku ikawa imaeisha hivyo.
 
WANAUME kwann mnapataga ugumu...pale mwanamke anapokuhitaji

Uende ukalale kwake???
ule ni wanja wa vita,
ni wanja wa mapambano,
nenda but kaa ukijua ambushi au gurunade attack ni wakati wowote....

ni ama uumie vibaya sana,
utoke ndruki,
au maafaa..🐒

kuepuka songombingo za kaboka mchizi Bora jiweka pembeni kuepusha msongamano, uharibifu na pengine maafaa.....🐒
 
Ila haya masimango yenu ndio yanafanya tunaojielewa tukwepe sana kulala kwa mwanamke! Hapo utakuta ukikutana na mashosti zako ndio unawaambia "yaani limelala pale linajamba jamba tu.."

Nyie mkija kwetu mnajamba, mnatukojolea vitandani, mnatuachia miharufu yenu ndani lakini maskini ya Mungu sisi wala hua hatulalamiki 😒
 
Nishalala kwa manzi mmoja Chuo Cha mipango Dodoma geto lake.

Ile mitaa karibu na Chuo.

Sijakaa fresh marafiki zake Hawa hapa.

Usiku sikulala kabisaa.

Kwanza nilitafuta kisu Kiko wapi ndio nikawa standby kwa ambush.

Ukienda kulala kwa manzi andaa silaha, panga, bisu au mguu wa kuku
 
Back
Top Bottom